Msuya Jr.
JF-Expert Member
- May 31, 2013
- 1,691
- 899
Hello members ,
Jina langu Renyo Msuya,
Nafanya kazi na makampuni ya kuuza magari kutoka japan kuja Tanzania.
Niulize swali lolote kuhusu magari na bei zake , pia tuna import magari kwa bei nafuu kabisa.
Nitakuwa najibu maswali na updates za magari .