Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habarini za kutwa nzima ndugu zangu Watanzania, nilikuwa nahitaji kufahamu bei za bajaj mpya na used za tvs.
1 Reactions
12 Replies
47K Views
Kichwa cha habari cha jieleza naombeni msaada wa kupata hizi bidha,Napatikana dsm NB;Naitaji sendo kama sendo sio yeboyebo [emoji120]
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Hello Jf. Kiwanja kiko katika mazingira mazuri mazuri kama kinavyoonekana Kishapimwa, hati ndio inasubiriwa Umeme upo, hatua chache huongezi nguzo Maji yapo lakin chumvi. Dawasa inakuja soon...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Tunauza wino wa photocopy mashine aina ya CONON IR zote pamoja na HP PRINTERS.... Kwa Bei ya Shs 19,000/= kwa Jumla. Kwa mawawsiliano 0754257556 Kusafilisha mikoani BURE!
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari wakuu! Naomba kujulishwa mahali naweza kupata mashine za kukwangua nazi kama hii inayoonekana kwenye picha kwa hapa Dar es salaam na bei zake. Natanguliza shukrani kwenu!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
NATAFUTA FUNDI MAKIN SANA ATAWEZA KUNITENGENEZEA HIZI SHELVES KWA AJIL YA DUKAN NA KUFANYA INTERIOR DESIGN Kwa Dar
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu woote, Nahitaji kukodishiwa turubai mfano wa hili hapa chini, kwa muda wa wiki moja kw ajili ya klinik ya afya ngozi BURE.Itafanyika Mbezi mwisho , Dar es salaam. Kama unajua...
0 Reactions
0 Replies
445 Views
Eneo lipo Kibada block 18, Ukubwa wa eneo ni SQM 3500. Eneo lemepimwa na lina hati kutoka wizara ya Ardhi. Linafaa kwa matumizi mbali mbali, kama vile, Go down, Kiwanda kidogo, Ujenzi wa shule...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Anayeuza Dawa za Mseto wa Malaria kwa bei ya jumla anicheki kwa no 0788364580
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mashine kwa ajili ya mazoezi ya Tumbo na mwili mzima imetumika miezi mitatu tu naiuza kwa laki na nusu (150,000) tu bei ya dukani ni laki mbili na nusu (250,000). Nipo kitunda Dar es salaam...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
call/WhatsApp 0656 666 662 -Fryer mpya ya kisasa ya chips ya umeme -Ina matank mawili -ina ingia lita 6 za mafuta kila tank -made by stainless steel,haipati kutu -inaivisha chips mara moja zaid ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu nahitaji laini ya kununua ya lipa kwa mpesa (nahitaji ambayo haina makato) Kama unayo nichek PM tufanye biashara Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Anaeuza hii Oven au anae jua mahala zinauzwa naomba tuwasiliane 0744243978, Iwe One deck au 2deck, Please tusaidiane hata kuulzia kwa wazoefu mnaowajua Nimehangaika Sana kuitafuta.
0 Reactions
3 Replies
782 Views
Nyumba hii ni mojawapo ya nyumba zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mwaka 1968. Ni nyumba ya mjengo wa kizamani. Ina nyumba vitano vya kulala na korido katikati. Uani kuna choo 2...
2 Reactions
0 Replies
526 Views
Habari Wana JF natafuta Speaker Monitor kwa ajili ya Recording studio Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
4 Replies
769 Views
Habari, Kitanda kinauzwa 5*6, bila godoro, hakina tatizo lolote na sababu ya kukiuza ni muhusika anahama mkoa kikazi, Location ni Mbezi beach, Bei yake ni 250K, No. ya simu whatsap ni...
7 Reactions
71 Replies
8K Views
◉ Mashine hii inahesabu pesa zote za noti iwe fedha ya kigeni mfano:- dollar , euro, kwacha, Tshs n.k. ◉ Unaweza kuitumia ofisini kwako, dukani kwako katika matumizi mbalimbali ya kuhesabia pesa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
TUTAFUTE: 0764 22 68 67 call, SMS or whatsap. FREE DELIVERY MIKOANI TUNATUMA PIA TUNAUZA KWA JUMLA (WHOLESALE) Specifications: Energy Saving,Smart TV ,Youtube, Google. Facebook, Skype. Slim...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Nauza miche bora ya mchaichai kwa bei ya shilingi 1,000, kwa yeyote anayetaka naomba tuwasiliane kwa namba ifuatayo 0785100139. Nipo Dar es Salaam. Karibuni sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba 2 zinauzwa kwa pamoja ndani ya eneo moja shilingi milion 70. Maongezi yapo. Zipo Kimara Mavurunza. Gari inafika mpaka mlangoni. Umeme upo. Nyumba ya kwanza inavyumba 12, vitatu ni master...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom