TANVORES tunawaunganisha wakulima, wafugaji na wavuvi pamoja na wachakataji wa bidhaa hizo moja kwa moja kwa wateja.
Ni rahisi, tuma picha ya bidhaa zako, mawasiliano na mahali ulipo nasi...
Niaje kuku farm inakukaribisha wewe mfugaji mdogo na wa kati mwenye ndoto za kukuwa kwa speed nzur na kupata faida kwenye ufugaji wako katika mafunzo ya utengenezaji wa mashine za...
Jipatie smartwatch kali inayosuport android na ios kwa bei ya jumla na rejareja
t 500
Inatumia wireless charge
ina kioo kikubwa full hd
Unapokea simu kwenye saa yako
inakutumia notification zako...
Habari wadau,
Nahitaji Howo tipa 6×4 Yaani yenye tairi 10. Iwe nzima, safi na tayari kwa matumizi. Iwepo Dar ili kurahisisha ukaguzi. Offer yetu haizidi 60M. Kama unayo tafadhali nitumie picha...
Wapendwa nawasalimu nyote
Naomba kwa anayefahamu bei mpya za mashine ya luku ya umeme kulingana na aina zake na viwango vyake ..maana nataka kununua hiyo mita kwa matumiz ya salon yangu peke...
Habari wanabodi
Natafuta fundi wanaoweza kuni-designia mini coffee shop yangu kwa namna ambayo ni ya kisasa.
Mafundi wazoefu karibuni kwa michango yenu.
Habari waheshimiwa
Nauza apple imac core 2 duo mtumba kutoka nje(ziko nyingi)
sifa zake
Hdd 500gb
ram 2gb (inaongezwa)
nch 24 wide
processor 2.8ghz
core 2 duo
graphics ATI radeon HD 2600 PRO 256...
Husika na kichwa hapo juu,siuzi moja moja kwa mtu anayetaka anayetaka itamlazim achukue zote mbili. Bei ni 220000.
Napatikana Dar es salaam kwa no 0693090099.karibuni
Habari wana jukwaa. Ninahitaji kiwanja cha makazi DSM eneo laweza kuwa kuanzia Kimara hadi Standi mpya ya Maili Moja Kibaha umbali kutoka Barabara ya Morogoro usizidi kilometer moja.
Kifupi nimeona nije Mwanza kwa kuwa ni karibu.Ila nilifikiria kwenda Dar maana Nairobi kuna usumbufu kwa sababu ya covid.
Nisaidieni Mwanza ni duka gani linauza hivi vitu?
√ cc 650
√ automatic transmission
√ too economy (less fuel consumption
√ sports rim (rim sport)
Conditions: mint
No accident history
Location: dar es salaam
Price: 6m
See photos below
Habari wadau,
Infinity works inatoa offer kwa wale wanaotaka kupendezesha nyumba zao kwa kuweka dirisha za aluminium.
Kutokana na ugumu wa maisha na upatikanaji wa fedha, tumeamua kuwaleta offer...
Habari zenu, naomba msaada wenu nilikua na shida ya mafuta kwa ajili ya kutengenezea sabuni naweza kuyapata wapi maana Dar siyo mwenyeji sana.
Pili nilikua naomba kuuliza kuhusu packaging za...
NIMEPANDISHA DAU WAKUU NATAFUTA TV FLAT LED TV NCHI 43 BEI YANGU NI 380K IKIWA SMART TV DAU LANGU NI 450K CASH (SMART INATEGEMEA BRAND DAU LINAWEZA KUPANDA)
NAMBA YANGU NI 0769939879
Anaejua mashine za kusaga plastics Hadi zinakuwa kama unga naomba info..
Hata kama mashine ni locally made..
Plastic kama chupa za maji na vifuniko vyake..
Anaejua wapi zinapatikana aina zozote za machines za kusaga plastics..hapa nchini naomba anipe info. Hata locally made.
Plastics nazomaanisha ni hizi kama chupa za maji na mifuniko yake.. wengine...
Grandstream gxp2140 IP Phone for sale
brand New, zinapatikana kwa bei ya tsh 80000.wahi kabla mzigo haujaisha kwani zimebaki chache.
contact: 0757870230