Natafuta tv flat led TV

a man of wisdom

Senior Member
Feb 1, 2017
183
151
NIMEPANDISHA DAU WAKUU NATAFUTA TV FLAT LED TV NCHI 43 BEI YANGU NI 380K IKIWA SMART TV DAU LANGU NI 450K CASH (SMART INATEGEMEA BRAND DAU LINAWEZA KUPANDA)

NAMBA YANGU NI 0769939879
 
350k?

hata nch 32 utapata yenye changamoto
Alivyosema isiwe na kipengele anamaanisha anataka used.

Kwa bei hiyo anapata ila itakua Star X au hizi zingine.

Na used inchi 32 kwa pesa hiyo ni ataletewa nyingi mno.
 
Alivyosema isiwe na kipengele anamaanisha anataka used.

Kwa bei hiyo anapata ila itakua Star X au hizi zingine.

Na used inchi 32 kwa pesa hiyo ni ataletewa nyingi mno.
Isiwe na kipengele means isiwe na tatizo
 
Isiwe na kipengele means isiwe na tatizo
Yea ni lugha inayotumiwa unapotafuta kitu used mtaani kwakua dukani bei itakua ya kitu kipya ambacho obviously hakitarajiwi kua na kipengele.
 
Asante sana.kwa walionielewa 350k.means nataka.ikiwa used tena nikasema brand yoyote,wakuu najua 43" huwez enda dukan upate natafuta used na watu wapo wanaouza japo kwa changamoto ama anataka ku upgrade hvyo yan.ila kwa 32 brand yoyote ila hapa ntatoa 220k icwe na shida yoyote but used
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom