Computer4Sale Dell Alienware 15 R3

Ujo Group

Member
Dec 7, 2020
16
5
Dell Alienware Alienware 15 R3

PROCESSOR / CHIPSET
CPU: Intel Core i7 (7th Gen) 7700HQ / 2.8 GHz
Max Turbo Speed: 3.8GHz
Number of Cores: Quad-Core
64-bit Computing: Yes
Features: Intel Smart Cache, Intel Turbo Boost Technology 2.0

RAM
Memory Speed: 2400 MHz
Technology: DDR4 SDRAM
Installed Size: 16Gb
Max Supported Size: 32Gb
Form Factor: SO-DIMM 260-pin

DISPLAY
Resolution: 1920 x 1080 (Full HD)
Widescreen Display: Yes
Monitor Features: anti-glare
Type: LCD
Display Resolution Abbreviation: Full HD

AUDIO & VIDEO
Graphics processor: NVIDIA GeForce GTX 1060 6Gb
Sound: Stereo speakers, array microphone
Audio Codec: Realtek ALC3266

HARD DRIVE
Type: HDD
Capacity: 1Tb

HARD DRIVE 2
Type: SSD
Capacity: 128Gb

CONNECTIONS & EXPANSION
Interfaces: USB 3.0
HDMI
Headphone/microphone combo jack
LAN
Microphone/headphone retaskable port
Graphics Amplifier Port
USB-C/Thunderbolt 3/DisplayPort
USB 3.0 (PowerShare)
USB-C
Mini DisplayPort

MISCELLANEOUS
Color: Silver
Image Color Disclaimer: the displayed product image may be a different color
Features: AlienFX Lighting Zones

SHOCK & VIBRATION TOLERANCE
Shock Acceleration (Operating): 40G
Shock Duration (Operating): 2 ms half-sine pulse

Used : Abroad

Price Tzs 3,850,000/=

Tupo Njia ya Survey Mlimani City Mall

0784545494

IMG_0591.jpg

IMG_0597.jpg

IMG_0611.jpg
 
Kitu kimetulia. Tatizo touch screen hamna. Mtu kama mathsjery ashazoea computer za kimama zile kuandikia vicode vyake vya Python bila touch screen humwambii kitu
Kuna vitu ukifanya maamuzi utaonekana mjinga sana, sasa dude Kama hilo ninunue la nini tena kwa ajili ya project za kawaida kwenye programming?

Labda wanaofanya heavy programming na ni ngumu kukuta wanatumia hizo alienware ni spesho kwa gaming japo wabongo mnapenda kuforce.

Napenda vitu portable, hili dude zito na huwa. Natembea na pc yangu naweza tumia popote kwanza ni nyepesi na ina nguvu japo si kivile, haipotezi power kirahisi, hivi ndo vipaumbele vyangu option Zingine kuna pc aina tu a acer zenye nguvu pia but portable.

Mkuu nunua ukafungue kiosk cha gaming pale mbagala kwa mbiku upige hela sijui utarudisha mtaji lini.
 
Mbona povu limekutoka mzee kwani umelazimishwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom