House4Rent Nyumba Vyumba 2 Inapangishwa Mbezi Beach

Dalali Alpha

Member
Apr 20, 2021
89
125
Mahali: Mbezibech Shule
Bei: Tshs 250,000 Kwa Mwezi

Nyumba ina vyumba viwili, choo cha public ndani, na Sebule.
Haina jiko ila ina kibalaza unaweza kutumia kupika.

Maji ya dawasa yapo, parking ipo, Fensi na geti, luku yake.

Maelezo zaidi 0716442950

IMG_20210519_125535.jpg
IMG_20210519_125657.jpg
IMG_20210519_125609.jpg
IMG_20210519_125403.jpg
IMG_20210519_125643.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom