GLOBAL CARE PRODUCTS waagizaji wa simu kutoka nje ya nchi kwa jumla na rejareja kwabei nafuu. Pia tunafanya DELIVERY BUURE.

Jul 3, 2019
16
11
Njoo sasa tukuagizie simu aina ya IPHONE, SAMSUNG, HUAWEI, GOOGLEPIXEL, XIAOMI, ONEPLUS pamoja na simu za batani kama vile NOKIA EXPRESS MUSIC n.k
  • Kuanzia iPhone 6 hadi iPhone X utajipatia kwakuanzia Tsh.390,000 mpaka Tsh.1,900,000
  • Kuanzia Samsung J1 ACE hadi NOTE 9 utajipatia kwakuanzia Tsh.230,000 mpaka Tsh.1,250,000
  • Kuanzia GooglePixel 2 hadi 3XL utajipatia kwakuanzia Tsh.540,000 mpaka Tsh.1,090,000
  • Kuanzia OnePlus 3T hadi 6T utajipatia kwakuanzia Tsh.475,000 mpaka Tsh.1,170,000
  • Huawei zinaanzia kwa bei ya Tsh.270,000 hadi Tsh.1,420,000
  • Simu za Nokia Express Music na zinginezo zote za batani utajipatia kwa Tsh.40,000 hadi Tsh.60,000
    • Simu zote ziko na uwezo tofauti tofauti wakuanzia 16GB hadi 256GB
Kwa watakao itaji kwa jumla tunaanzia pcs 5 kwa simu kubwa zote na kwasimu ndogo ni pcs 10 nakuendelea.
Kwa wateja wa rejareja watajipatia na zawadi kati ya Kifurush cha Internet cha Mwezi.
Tupo magomeni mapipa, Mkabala na kituo cha Mwendokasi ilipo Bank ya DTB jengo la Rubeya Floor ya kwanza.
Kwamaelezo zaidi wasiliana nasi kwa nambali

0676 648 992

0767 362 849

WOTE MNAKARIBISHWA....
 

Attachments

  • Nokia-2600.jpg
    Nokia-2600.jpg
    15.5 KB · Views: 18
  • Nokia-2730.jpg
    Nokia-2730.jpg
    11.8 KB · Views: 17
  • Nokia-3720.jpg
    Nokia-3720.jpg
    32.5 KB · Views: 13
  • Nokia-5310-XpressMusic.jpg
    Nokia-5310-XpressMusic.jpg
    7.3 KB · Views: 13
  • Nokia-5610-XpressMusic.jpg
    Nokia-5610-XpressMusic.jpg
    12.4 KB · Views: 13
  • Nokia-5630-XpressMusic.jpg
    Nokia-5630-XpressMusic.jpg
    21.8 KB · Views: 13
  • Nokia-5730-XpressMusic.jpg
    Nokia-5730-XpressMusic.jpg
    14 KB · Views: 13
  • Nokia-5800-XpressMusic.jpg
    Nokia-5800-XpressMusic.jpg
    17.4 KB · Views: 17
  • Nokia-6301.jpg
    Nokia-6301.jpg
    9.8 KB · Views: 14
  • Nokia-6700-classic-3G.jpg
    Nokia-6700-classic-3G.jpg
    13.7 KB · Views: 13
  • Nokia-6700-slide.jpg
    Nokia-6700-slide.jpg
    15.2 KB · Views: 16
  • Nokia-E55.jpg
    Nokia-E55.jpg
    15.4 KB · Views: 14
  • Nokia-E5713G.jpg
    Nokia-E5713G.jpg
    15.4 KB · Views: 14
Hivi hill duka bado lipo maeneo hayo ya magomeni... Pia MNA Sony Ericsson za batani mtoleo ya zamani lakini siyo ya sasa... Maana daah! Napenda sana simu za zamani...
 
Back
Top Bottom