acontinuer
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 241
- 256
APPLE ARTISTS GROUP[emoji327]
Inawatangazia kwa wasanii ambao wanapenda kufanya sanaa ya uhigizaji na wasio wasanii ambao wao nao wanapenda kuigiza
Tunaitaji wasanii watakaopenda kujiunga na sisi kwenye group letu la sanaa na kufanya mazoezi kwa pamoja.
Vigezo mwana sanaa anatakiwa anzie miaka 8 hadi miaka 50 jinsia mwanaume au mwanamke.
Tunapatika wilaya ya Temeke shule ya yombo kilakala
kama upo tayari kujiunga na sisi pia wasiliana na sisi kwa number hizi +255 789 880 287