Habari wakuu nauza gari yangu nina emergency haina tatizo lolote wala haijawahi kurudiwa rangi.
Bei 10.3 maelewano yapo kidogo
Mwaka 2004
Millage-99288
Cc 1790
Colour- black
Inapatikana Dar es...
Rafiki yangu mpendwa,
Kilio kikubwa cha watu kwa sasa ni pengo kati ya matajiri na masikini kuzidi kuwa kubwa.
Matajiri wanazidi kuwa matajiri huku masikini wakizidi kuwa masikini.
Ni hali...
Dear JF members,
Greetings from WLC.
We asked for an opportunity to come and provide you with education regarding the logistics hassles; mainly importation and exportation of goods or services...
Habari,
Kama wewe msomaji wa uzi huu au mtu unayemfahamu ana kipaji chochote ambacho hakijajulikana vema na kumsaidia kimaisha tafadhali tuwasiliane kwa Whatsapp namba 0676434611.
Kipaji...
Habari zenu wapendwa,
Leo nawaletea offer nzuri kabisa.
Nauza Samsung Galaxy J7 PRO kwa bei sawa na bure kabisa.. inahitajika 280,000/= tu.
Naiuza kwa sababu nimepata simu nyingine hivyo hii...
Jipatie mifumo kwa gharama nafuu na Elimu bure matumizi ya kompyuta. Karibu Gangilonga LTD tunapatikana neema craft iringa.
Pia, tunatengeneza mifumo kutokana na mahitaji ya mteja au taasisi...
Zipo mjimwema mtaa wa kibugumo. Zipo za vyumba viwili kimoja master bedroom sitting room jiko na public toilet. Bei laki 350 chumba kimoja master bedroom sitting room jiko Bei laki 250...
Kiwanja kiwe Salasala, mabwepande, Tabata, uwanja wa ndege, Bagamoyo Road etc
Eneo liwe ni salama kwa kuishi hasa ulinzi. Eneo liwe na maji na umeme na karibu na Barabara.
Zingatia isiwe...
Ndugu zangu wapendwa, nawasalumu nikiwa naanini kuwa wengi mu wazima wa arya njema sana.
Dhumuni la uzi huu, ni kuwaombeni mnisaidie niinuke.
Waswahili husema kupeana ni kikoa, na hisani huanzia...
Wadau naomba kama Kuna mtu Ana jaw crusher ya bei nzuri. Mashine ya kutengeneza kokoto nahitaji kama unayo au pengine unaweza kuniuzia au kukodisha nitashukuru
RAM zinauzwa kama zinavooneshwa kwenye picha hapa chini zipo za 2gb na 4gb jumla zote zipo 4 chukua zote kwa 100k ni nzima na zilitumika kwenye computer za kufundishia kwa muda tuu
bei zake...
Giant's pro Electronics niwataalam wenye weledi na uzoefu katika malekebisho ya vifaa vinavyo tumia umeme tunafanya kazi popote tutakapo hitajika na kazi zetu ni za uhakika na uaminifu mkubwa...
Habari za leo marafiki,
Kwa wale wanaotaka kutuma fedha nje ya nchi au kupokea kutoka nje ya nchi karibuni.
Natoa huduma ya kutuma na kupokea pesa nje ya nchi (UK, US, na CHINA) kwa njia ya...