Shamba linauzwa
Liko- Tanga Tanzania.
Mahali- Handeni
Eneo- Kabuku
Umbali km 6 toka barabara kuu ya lami.
Ukubwa wake ni heka 100
Nyaraka za umiliki lina hati ya kijiji.
Ndani yake lina...
Husika na kichwa cha habari hapo juu mabati 200 kwaajili ya uzio au fence yanahitajika Mwanza mjini mwenye nayo anicheki kwa hizi number 0678195114 au 0689993661.
Wakuu baada ya utafiti kidogo, nimeamua kuwa na chombo cha kilimo na wengi wamenishauri nichukue Massey F. sababu wanasema spare zake zipo nyingi kuliko hata Ford kwa Tanzania.
Ila sijui bei zake...
Natafuta fundi mzuri wa ngazi ya spiral ya chuma.
Nipo Dar.
Nitumie sample ya kazi yako kama unayo kupitia msirisana@yahoo.com.
Waweza weka pia kazi zako hapa pia, gharama na contact info.
Habari za weekend,
Kwa budget ya Laki tatu (300k) naomba ushauri kwenu ni simu gani nichukue yenye uwezo mzuri wa battery, camera na internal memory kubwa ya kukidhi matumizi ya kawaida.
Kwa mahitaji ya shopping ya nguo za watoto, viatu vya kike, mikoba na perfumes kutoka Uturuki
Tucheki "turkish_designs_wears" IG na Facebook
Kwa jumla na Rejareja
Tupo Tandika Plaza
Habari za majukumu?
Naomba mtu yeyote anisaidie details za kampuni zinazofanya door to door marketing.
(Maarufu kama watu wa promotion, na wanauza bidhaa mchanganyiko kama vile vipodozi, sabuni...
Kwa wapenzi wote magari mazuri kama unahitaji kumiliki gari aina yoyote ile, kila siku pitia uzi huu.. na kama sijalipost wewe nicheki kwa simu, nikupatie gari la ndoto zako.
Magari ni used hapa...
Kama Kichwa Cha habari Kinavyojieleza.
Nina Biashara ya Hosting ambayo bado ni Changa, Nimeifanya Kwa Miaka miwili na Tayari. Ina wateja ambao wako Active 10, Na Wanalipia Kila mwaka (Wanalipia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.