Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Msaada Wakuu wapi naweza kupata jenereta ndogo za ku-pump maji kwaajili ya kumwagilia kwa maeneo ya Moshi au Arusha na bei zake zipoje Pia naomba msaada ni vitu gani vya kuangalia kabla...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kama unajijua ni mahiri wa kucheza ps 4&5 game tofauti tofauti hii ni fursa kwako. Njoo ucheze na ulipwe. Umri uwe ni kati ya miaka 10-25. Hakuna kiingilio ni bure. Eneo ni Arusha Remote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa usawa huu wa Tozo..hapa ndio Nyumbani...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Ipo Dar es salaam Airport Bei 4.9 Gari haina tatizo lolote Gear box safi Engine:1290cc,VVTI Year:2004 Full AC/Haidaiwi Serious buyer: CALL/SMS/WHATSAPP0784399081/0754405179
0 Reactions
6 Replies
2K Views
NAHITAJI KIBANDA CHA M PESA BEI ISIOZIDI 200,000/=. Wakuu mambo vipi? Nahitaji kununua kibanda cha m pesa kiwe cha chuma au mbao. Bei isizidi 200,000/= Kama unauza au unafahamu anae uza...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, Kwa upande wa Mobile Application iwe Android au iOS platform , Katika mifumo miwili hiyo hapo juu unaweza kujipatia App za mifumo App za kioffice App za...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Habari wadau wa jukwaa hili adhimu!. Gari lenye ujazo mdogo aina ya Ist, Passo na Vits zinatafutwa. Moja kati ya aina hizo tatu linatakiwa liwe katika hali nzuri na usajili uwe T... D... Bajeti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau, Nahitaji kuku wa nyama tani 2.5. Hata kama una kuku ambao bado hawajawa processed ila wanaweza kutoa tani hizo tajwa hapo Juu Basii njoo tuifanye biashara Serious seller Dm me your...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana JF Natafuta laptop kwa anayeuza laki na nusu.. iwe na vigezo vyote muhimu kwa aliye tayari kuuza..nipo Dar es salaam Ubungo.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Redio inauzwa ni sony hometheater 1000w dz950 Bei laki 7 redio ipo Mbeya Mawasiliano 0652 064 936
1 Reactions
3 Replies
781 Views
Nunua spare za Magari, tembelea kwa elimu ya spare zamagari kutoka nje jinsi yakuagiza namna yakusafiri nakuchagua spare,Agiza na; Macha Dubai used car spare parts MWANANYAMALA KOMA KOMA KARIBU NA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cruise auto spare ni wauzaji wa spare party za magari Jeep, BMW, Audi, Land rover, Porsche, Volkswagen, Chrysler, Range/Land rover Duka linapatikana MAKAO MAPYA,EDEN ROAD jirani na cafe laziz...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada kwa yeyote yule, tarehe 16/07/21 nilibiwa begi yangu ya mgongoni kwenye bus ya BM ya sa 3 asubuhi iliyokuwa inatokea Dar kuelelea Dodoma ndani ya begi yangu kulikuwa na...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Chakula cha mifugo imekuwa changamoto na hivyo kupunguza faida kwa wafugaji, lakini ukiwa na azolla mambo ni tofauti. Unapanda mara moja unavuna kwa mwaka mzima. Wasiliana nasi tukupatie mbegu za...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Double watch Haiingii maji Mikanda ya plastic Haipauki Piga 0755 655516 Kwa sh. 45000 tuu Dar free delivery Mikoani unatumiwa
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, baada ya kuungaunga visenti vyangu kwenye kazi zangu za uwakala na ukodishaji wa mitumbwi(ngalawa au vikwalukwalu) nimepata wazo la kufungua duka la jumla la urembo. Duka la...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Bila shaka mpo salama. Nipo mkoani na nahitaji kwa bajet tajwa hapo juu, aina ya gari iwe Corola, Carina, Cresta na zingine zenye muundo huo. Kwa mwenye nalo ani pm. NB: Wakosoaji endeleeni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiwanja kipo kigamboni maeneo ya dege kuna ukubwa wa sqm 1900 kimeshapimwa kabisa na kina hati tayari. Kimezungukwa na barabara pande zote kipo mazingira mazuri sana. Price 70mil Negotiations...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom