Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako...
Habai wakuu
Natafuta soko la chainizi kwa wenye kuhitaji shamaba lipo Morogoro, Berega ,na Nalenga kupata wateja toka sehemu za jirani kama Singida, Dar, Dodoma na Morogoro Mjini. Shambani...
Aman kwenu wakuu
Kuna hizi kampun mbili kutoka huku kandaziwa batco na ftester hawa jamaa wameshindikana aisee
Huyu batco ana bus kama Mbuz yaan ni utitiri aisee, ukisimama pale nyakato utakuwa...
Ndugu wanajamii natafuta mbegu ya mbuzi aina ya (Bore Goat ) , kwa yoyote anayeweza kunisaidia naomba msaada wenu. Kama mbuzi wanapatikana au wapi ninaweza kupata mbegu za kupandishia.
Habari Wana JF
Mwenye uelewa napataje apartment za national housing hizi za bei ya kawaida chin ya laki tano ila nzuri ambazo unakuta mtu anatoka unaingia.
Kifaa hiki ni
Full HD 1080P
Android 4.0 Media Player Smart Google TV Box Stick with Wifi,
HDMI + USB Interface,
Support USB Flash Disk / USB Mouse / USB Keyboard / USB HUB
Unachotakiwa...
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma katikati ya mji maeneo ya majengo kina ukubwa wa 35 kwa 17, kina offer.
Bei ni 230mil mwenye kuhitaji tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082, naamini hutojuta...
Tupo kwenye nyakati ngumu sana. Corona imeathiri kila nyanja ya maisha yetu. Na kwa kuwa bado hatuna uhakika na mwenendo wake, ni vyema tukaendelea kujilinda na kuepuka maambukizi.
Nasi kama...
Tunachukua order za kutengeneza Milango ya Mbao,Imara na Misafi toka Urambo Tabora. Mbao Maarufu za Mninga ,Mkongo na Mbanda. Inapatikana.
Kwa order kuanzia milango 5 na kuEndelea. Karibuni Kwa...
Wapi naweza pata mkopo wa laki mbili na nusu itakuwa vizuri zaidi kama kuna site za online zinaweza toa mkopo maana sitarajii kukaa na mkopo huo kwa muda mrefu ni kitu fulani tu nakikamilisha...
Jabari wana JF...
Karibuni mjipatie begi nzuri begi kwa matumizi yako kila siku kwa Tsh 35000 kwa begi 1(3 in 1)
Na kwa Tsh 30000 kuanzia begi tatu na kuendelea, mikoani pia tunatuma bila shaka...
MYU Capital is analytics and investment research company, develop data science system.
We Assist enterprise to develop data science system for different purpose you will pay zero in acquisition...
Binafsi nampenda sana mwandishi wa best seller financial guide book 'RICH DAD POOR DAD' Robert Kiyosaki. Ni mwandishi nguli kwenye masuala ya uchumi na biashara. Vitabu vyake vinatumia lugha...
3Bedrooms House
Plot Size - 600sqm
Price - Tshs 200 Milioni
Document - Titledeed
Mahali - Mbezibeach, Kwazena
Lovely 3bedrooms house built on plot size of 600sqm size founded in a good...
Habari wana members wa jamii forum, mimi ni mtengenezaji wa joystick za kuendeshea magali aina ya truck na Buss (SCANIA, DAF, IVECO,UTONG..... etc) natengeneza joystick kwa material ya mbao hili...
Beach plot inauzwa Nunge Beach Bagamoyo Mjini. Nunge Beach ni maeneo ya ilipokuwa Paradise Hotel and Resort. Ni eneo linalofaa kujenga Hotel za kitalii. Size ya kiwanja ni 11 acres. Bei ni $2M...
Wadau Habari za mida hii, ni matumaini yangu ni wazima mnaendelea na shuhuli za ujezi wa taifa licha ya changamoto kubwa za korona tulizonazo, moja kwa moja niende kwenye point nimekuwa nikitumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.