Je, unahitaji kuandikiwa Maandiko ya Miradi (Project Proposals), Grants, na kupata Volunteers kutoka nje (USA) kwaajili ya taasisi yako?

Aug 31, 2021
66
125
Sisi wataalam katika kuandaa na kuandika maandiko miradi, maandiko ya kuomba ruzuku/Grants, na pia kukuwezesha kupata volunteers/interns kutoka nje (USA na Canada). Karibu tuzungumze! Pia tukutengenezee “Fundraising strategy” ya taasisi yako.
 
Charges zenu ni kiasi gani? Na mnacharge kabla au baada ya kuwin grant/proposal? Nje ya maada, kama mnaweza waandikia wengine grants na wakapata, kwa nini msiandike za kwenu wenyewe ?

1. Muandika proposal haimuhusu kama uta win au la. Nitaandika proposal kulingana na contents ulizonipa sasa jinsi ya kushawishi implementation ni kazi yako.

2. Kwanini tusiandike za kwetu wenyewe - Kwahiyo unataka tuandike za kila mradi ili tufanye wenyewe?? Irrelevant
 
2. Kwanini tusiandike za

1. Muandika proposal haimuhusu kama uta win au la. Nitaandika proposal kulingana na contents ulizonipa sasa jinsi ya kushawishi implementation ni kazi yako.

2. Kwanini tusiandike za kwetu wenyewe - Kwahiyo unataka tuandike za kila mradi ili tufanye

1. Muandika proposal haimuhusu kama uta win au la. Nitaandika proposal kulingana na contents ulizonipa sasa jinsi ya kushawishi implementation ni kazi yako.

2. Kwanini tusiandike za kwetu wenyewe - Kwahiyo unataka tuandike za kila mradi ili tufanye wenyewe?? Irrelevant
Wishing you the best of luck.
 
Not necessary mimi sijawahi kuchungulia mlango wa chuo ila naandika business plans/proposals.
Sasa hivi naandika strategic plan ya taasisi kubwa ya micro-finance

Ni kweli, na hii ndo inatakiwa! Mimi nimepitia vyuoni lakini uwezo wangu wa kuandika hayo ninayoandika siyo unatokana na hicho tu nilichokipata vyuoni!
 
Charges zenu ni kiasi gani? Na mnacharge kabla au baada ya kuwin grant/proposal? Nje ya maada, kama mnaweza waandikia wengine grants na wakapata, kwa nini msiandike za kwenu wenyewe ?

Good questions! Tuna charges za aina mbili (kabla na baada!). Nikimaanisha ukisema huna uhakika na sisi kwahiyo mpaka upate hiyo Grant then tunakubaliana nawe na tunachaji 10% ya thamani ya hiyo Grant/Mradi. Yaani tukikuwezesha kupata $50,000 basi utatulipa 10% ya hiyo amount BAADA ya andiko kuandaliwa, kupitishwa, na kupatiwa fedha! Kwenye kabla, tunachaji $50 tu. Na arrangement nyingine ni sisi kukuandalia hilo andiko na kulikamalisha ili wewe ulipeleke kwa potential donors wako mwenyewe; sisi na wewe inaishia kwenye andiko lililokamilika! Hapo tunachaji $200!

Kwenye nje ya mada, ni kweli tunaandika za kwetu ktk miradi mbalimbali tunayofanya! Lakini kama Consulting firm, kuwaandikia watu ndiyo cha kwanza!
 
1. Muandika proposal haimuhusu kama uta win au la. Nitaandika proposal kulingana na contents ulizonipa sasa jinsi ya kushawishi implementation ni kazi yako.

2. Kwanini tusiandike za kwetu wenyewe - Kwahiyo unataka tuandike za kila mradi ili tufanye wenyewe?? Irrelevant

Nakuunga mkono! Nimemjibu pia na mimi jinsi ambavyo sisi kama Consulting firm tunafanya.
 
Siku hizi sio ujiko tena kuwa msomi? Naona wengi mnakwepa kujitambulisha, ni kwamba elimu ya chuo sio kitu na mnaponza wanaoanza.

Kinachotafutwa na muhimu kwenye usomi siyo una madegree mangapi! Ila hiyo degree au degree zako na uwezo wako zinavyoweza kutatua changamoto na shida za ki maendeleo za watu, na wewe mwenyewe! That’s the relevance and authenticity of Education! Mimi binafsi ni muumini wa elimu katika muktadha huo tu na siyo vinginevyo!
 
Niko bize sana na shughuli zangu za ofisi mpaka nahitaji intern wa kunisaidia ground works ofisini ikiwemo kuandaa hizo grants proposals katika sekta za afya (TB/Leprosy), disability and humanitarian issues. Mmebobea katika sector zipi kwenye maandiko yenu.?
 
1. Muandika proposal haimuhusu kama uta win au la. Nitaandika proposal kulingana na contents ulizonipa sasa jinsi ya kushawishi implementation ni kazi yako.

2. Kwanini tusiandike za kwetu wenyewe - Kwahiyo unataka tuandike za kila mradi ili tufanye wenyewe?? Irrelevant
Wataalamu wa kuandika haya mambo, mara nyingi huwa ni individuals ambao hawana au hawako kwenye Asasi yoyote isiyo ya Kiserikali yaani NGO au CIVIL SOCIETY yoyote hivyo hawawezi kuandika hizo grants au hizo proposals kwa ajili yao kwenda kwa Donor yoyote kwani donors, karibu wote, wanatoa fedha zao kwa Non Governmetal Organisations 9NGOs)au Civil Societies Organisations (CSOs) tu, siyo kwa individual writers. Hivyo basi nakushauri uwaone if you are a member of any NGO or CSO kwa msaada wao in that area.
 
Niko bize sana na shughuli zangu za ofisi mpaka nahitaji intern wa kunisaidia ground works ofisini ikiwemo kuandaa hizo grants proposals katika sekta za afya (TB/Leprosy), disability and humanitarian issues. Mmebobea katika sector zipi kwenye maandiko yenu.?

Tumebobea zaidi kwenye Community Development cross-cutting issues, though we have done a range of health related, disability and humanitarian interventions! Tunaweza pia kuandaa training ya kuijengea team yako uwezo na tunaweza kuku resource to a variety of potential donors for you to prepare and submit to them such Project Proposals.
 
PM your number please
 
Kindly I need your contacts please (Phone number/Email address)
 
Hapa kuna matumiz ya ID's ambayo yanatia shaka sana,Anyway-Ndo mapambano yenyewe
 
Back
Top Bottom