Pata huduma za serikali zaidi ya 130 kama vile Kupata cheti cha kuzaliwa, kupata namba ya nida, kutuma maombi ya mkopo wa elimnu ya juu, kutuma maombi ya chuo TCU, kutengeneza tin number, kuhakiki...
Habari natafta mashine ya kuchongea thread za bomba, inayoishia inch nne. 4"
Unaweza nielekeza duka, au kama unayo waweza kuja pm.
Mfano wa hizo mashine ni hizo pichani
Ndugu mteja,
Kkaribu tukuhudumie katika masala yanayohusu ufungaji wa mifumo ya umeme wa majumbani na viwandani. Tunapatikana Mbezi Beach Dar Es Salaam, na tunafika popote mikoani. Tuwasiliane...
Najidakia wanakuletea mashine za tofali aina mbali mbali Tunazitengeneza sisi wenyewe JIDAKIE SASA Huduma kwa wateja 0762612213
Email najidakiaonline@gmail.com
Au sales@najidakia.com
Application...
Na Smartdunia.
Habari za wakati huu ndugu zangu wanajamii forum.
Awali ya yote nipende kutoa pongezi za dhati kwa majukumu ya kila siku yanayotujenga sisi wenyewe na jamii kiujumla pia napenda...
Habari wanajf kiwanja kinauzwa maeneo ya chanika nguvu kazi,upande ule wa pili wa hospital karibu na mjasiriamali (mfugaji wa kuku)
Mwendo wa nusu saa kutoka barabarani
Urefu 70 upana 35
Bei ni...
Habari za wakati huu wakuu,
Tunakodisha gaming consoles, bei ni kama ifuatavyo
15,000/= Kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 3 usiku,
10,000/= Kuanzia saa 3 usiku mpaka saa 3 asubuhi,
30,000/= Kwa...
Ofa, ofa, ofa yako sasa!
Jipatie pad za ps4 za wireless kwa bei ya sawa na bure!
Pad ya wireless mtumba tsh 65000 tu.
Wasiliana nasi au tucheki whastup kwa namba!
(0777821973 au +255777821973)...
Habari ya weekend wakuu!
Husikeni na tangazo hapo juu, Mapazia 6 used kidogo yanauzwa 4 ni rangi ya maroon 2 meupe yanafaa kuwekwa sitting room au bedroom nk. Huwa yanawekwa Mapazia 3 dirisha 1...
Habari za mchana huu wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza pilipili kichaa inahitajika kwa wingi Sana zaidi ya tani kumi na tano.
Kama wewe ni mkulima wa pilipili kichaa au unafahamu mahali...
KUKU AINA YA BLACK AUSTRALORP ( HUFAAMIKA KAMA KUKU WA MALAWI)
- hutaga mayai mengi 280-300 kwa mwaka
- hupevuka mapema ndani ya miezi 4.5 tangu kifaranga
- hutumia wastani wa gramu 125 za chakula...
Msaada
Wakuu wapi naweza kupata jenereta ndogo za ku-pump maji kwaajili ya kumwagilia kwa maeneo ya Moshi au Arusha na bei zake zipoje
Pia naomba msaada ni vitu gani vya kuangalia kabla...
Kama unajijua ni mahiri wa kucheza ps 4&5 game tofauti tofauti hii ni fursa kwako. Njoo ucheze na ulipwe. Umri uwe ni kati ya miaka 10-25. Hakuna kiingilio ni bure.
Eneo ni Arusha Remote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.