Fundi mzuri wa nguo za kike

Fundi mzuri wa nguo za kike

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,017
Reaction score
2,163
Ninatafuta fundi mzuri wa nguo za kike. Hasa kushona vitenge. Mishono simple inayowwza kuvaliwa ofisini na kanisani. Kwa Dar.
 
Panda gari za Tandika, shuka Tandika mwisho,
Chukua gari zinazoelekea Buza, shuka kituo kinachoitwa Chama si mbali ni kituo cha pili tu, upande huohuo wa kushoto ulioshukia kuna njia ya vumbi ifuate moja kwa moja hadi utakapoona msikiti, maeneo hayohayo ya msikiti ulizia kwa fundi cherehani anaitwa Nuru ni wapi? Maana yupo maeneo hayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom