Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kiwanja kinauzwa salasala kina ukubwa wa 28M*20M (560SQM) kiko umbali wa 5km kutoka bagamoyo road, umeme upo na kumejengeka tayari asking price 15M
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajamii nawasalimu. Kiwanja chenye ukubwa wa square metre 176 kinauzwa maeneo ya KEKO magurumbasi A karibu na KEKO Madawa. Kiwanja kina hati miliki halali. Ukubwa wa kiwanja unaweza kujenga...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nauza plot au viwanja Kigamboni dege nyuma ya magorofa ya NSSF viko viwili kimoja ni 30 kwa 26 bei million 7 kingine ni 30 kwa 40 bei million 7 na heka 1 bei million 23 nna shida zangu kibiashara...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta kiwanja mbweni kiwe kina hati, kiwe tambarale na kiwe na ukubwa wa minimum 1000sqm.Whatsapp 0685085378. Budget yangu ni 30m. ukituma na picha itapendeza zaidi kabla ya kwenda kukiangalia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa square metre 3,000 kinauzwa Boko basihaya. kina hati ambayo utapewa copy kwenda kuhakikisha matumizi ya eneo wizarani. kiko barabarani na kinafaa kwa filling station au...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau natafuta shamba la kununua kama ekari 40 zikiwa zimegawanyika kama ifuatavyo; Ekari 10 zinazofaa kwa mazao ya bustani na yale karibu na maji Ekari 10 zinazo faa kwa mpunga na ziwe na karibu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Viwanja vimepimwa, havina hati, hati utafuatilia mwenyewe mnunuzi, ukihitaji tukusaidie kupata hati haina shida, vipo puna mbele kidogo ya kimbiji, vipo jirani kabisa na bahari ya Hindi, ukubwa ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa Iwambi, Mbeya 18m, kina ukubwa wa sq 601, kipo kwenye kona, ni kiwanja kizuri sana!!! Mazungumzo yapo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shamba linauzwa, liko mlandizi, ukubwa; eka 31/2 bei; mil 5 mawasiliano; 0754495938
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Eneo la kiwanja linauzwa mbezi shamba (goba)eneo limeshajengwa vyumba viwili na halipo mbali na barabara pia umeme upo,bei ni kwa yule anayehitaji kwa mawasiliano piga 0785-458405
0 Reactions
1 Replies
933 Views
Salama kabisa! Nina surveyed plots in kigamboni mbele ya kimbiji kunaitwa PUNA na KWA CHALE. Kwa chale ni karibu na JKT ya kimbiji. Na pia ninavyo POTEA njia ya kwenda Tundwi. Kutoka ferry 1...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
UKUBWA: SQM 900, UMEME UPO NA BARABARA HADI KWENYE KIWANJA. KIWANJA KIMEKATWA, MWENYE KIWANJA AMEJENGA PEMBENI. KIWANJA HAKIJAPIMWA, ILA HAKINA MGOGORO NA MWENYE KIWANJA YUPO JIRANI. BEI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shamba lenye ukubwa wa eka 50 linauzwa katika kijiji cha Mafuru kilichopo ndani ya wilaya ya mvomero Morogoro. Kila heka ni tsh laki NNE tu, ukinunua unapewa hati ya kijiji. Ukihitaji heka chache...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Tahadhari: Sitaki dalali kwenye biashara hii!
0 Reactions
4 Replies
995 Views
Eneo la kiwanja linauzwa mbezi shamba (goba)lina upana wa miguu 20 na urafu 15,limwjengwa vyumba viwili na halipo mbali na barabara umeme upo,kwa atakayehitaji eneo lina nyaraka zote na sababu ya...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Habari wana Bodi Mashamba yanauzwa Mikese Morogoro. 2 km kutoka barabara kuu Bei: laki saba (700,000) kwa ekari 1. Tuwasiliane kwenye PM na 0767 836 872
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Lipo Mbeya jiji barabara ya inyala hospital kama unaelekea inyala secondary, linaukubwa wa hatua 30 kwa 18 bei ni 5M. Nicheck kwa namba 0714374155 au 0753199179.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salama kabisa! Nina surveyed plots in kigamboni mbele ya kimbiji kunaitwa PUNA na KWA CHALE. Kwa chale ni karibu na JKT ya kimbiji. Na pia ninavyo POTEA njia ya kwenda Tundwi. Kutoka ferry 1...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naitwa x,nauza eneo lenye vyumba viwili,eneo lipo mbezi (goba)sio mbali na barabara na umeme upo namba zangu kwa atakayehitaji ni 0785-458405
1 Reactions
0 Replies
882 Views
Viwanja viko mbezi mpiji magoe ukubwa kuanzia 22x20 bei 4.5milion. Viko kandokando mwa barabara ya mbezi kwenda mpiji magoe. Huduma muhimu kama maji, umeme, hospital na shule zinapatikana. Kwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom