Plot4Sale NATAFUTA KIWANJA MBWENI

selham

Member
Jul 17, 2011
55
45
Natafuta kiwanja mbweni kiwe kina hati, kiwe tambarale na kiwe na ukubwa wa minimum 1000sqm.Whatsapp 0685085378. Budget yangu ni 30m. ukituma na picha itapendeza zaidi kabla ya kwenda kukiangalia.
PS: serious sellers only
 
Mkuu kwanini Umetaka Mbweni?
kama vikipatikana sehemu Nyingine je?
Kwani mbeni kuna Sifa zipi Mkuu?
 
Natafuta kiwanja mbweni kiwe kina hati, kiwe tambarale na kiwe na ukubwa wa minimum 1000sqm.Whatsapp 0685085378. Budget yangu ni 30m. ukituma na picha itapendeza zaidi kabla ya kwenda kukiangalia.
PS: serious sellers only
Nina kiwanja 1800 sqm kipo chanika buyuni ! Clean title dead kina jina langu unaenda kuhakiki mwenyewe wizara ya ardhi .
Umeme upon kipo barabarani kabisa junction ya njia mbili. Kama IPO interested ni PM

1800 ni 30 kwa 60 au 90 kwa 20 au 45 kwa 40? kama 45 kwa 40 nipe bei yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom