kimyakya mbwele
Senior Member
- Oct 15, 2007
- 134
- 261
Kiwanja chenye ukubwa wa square metre 3,000 kinauzwa Boko basihaya. kina hati ambayo utapewa copy kwenda kuhakikisha matumizi ya eneo wizarani. kiko barabarani na kinafaa kwa filling station au shopping complex. mnunuzi atapewa design za kisasa za kitu atakachotaka kujenga kutoka kwa wataalamu wetu.
hakina dalali wala mtu kati. unawasiliana na owner moja kwa moja. mawasiliano 0755092734 whatsapp 0754810853,
hakina dalali wala mtu kati. unawasiliana na owner moja kwa moja. mawasiliano 0755092734 whatsapp 0754810853,
Last edited: