Plot4Sale Shamba la kununua Moro

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,741
6,432
Wadau natafuta shamba la kununua kama ekari 40 zikiwa zimegawanyika kama ifuatavyo;

Ekari 10 zinazofaa kwa mazao ya bustani na yale karibu na maji
Ekari 10 zinazo faa kwa mpunga na ziwe na karibu na maji
Ekari zozote zaidi ya hiso ziwe kwa mazao yeyote hasa mahindi.

Niko moro hivyo kama yanapatikana karibu na moro, mvomelo, kirosa etc nitashukuru.
 
nitafute inbox.
 
Mkuu Kimla unapobandika tangazo jitahidi uwe unatembelea hapa na check inbox mara kwa mara!
Nimekutumia PM. Pia sio mbaya kama utaweka mawasiliano yako nje ya hapa.
Usiache kunitafuta upate ardhi nzuri.
 
Ata Mimi nahitaji ekari kumi ila shamba liwe na maji nataka kufanya kilimo cha umwagiliaji
 
Shamba lipo zuri sana lenye rutuba ya kutosha.
Ni ekari 17 lina chanzo cha maji cha kudumu, vifaa vya bustani, kivuli cha miti ya matunda( mifenesi, miembe na parachichi) kinachoruhusu ufugaji wa kuku, nguruwe, mbuzi,ngombe na samaki kwa wingi.
Linafaa kwa kilimo cha bustani kama vile vitunguu, matikiti, tangawizi, hoho n.k

Lipo Turiani. Mimi ndiye mmiriki na nitakuuzia kwa bei nafuu sana.
Tuwasiliane, KARIBU SANA.
 
Bei gani per eka

Kisima kwa laki mbili VP mkuuu hizo nne parefu
Mkuu upo chini sana ndugu yangu.
Labda nikupe mchanganuo mdogo tu kwa mtu aliyenunua shamba ambalo ni pori;
Gharama ya kununua sh 90,000-150000/acre
Kung'oa miti na kufunga biwi sh200,000/acre
Jumla kuu ni sh350,000/=
Hiyo ni tathimini ya shamba lisilokuwa kwenye chanzo cha maji.
Jaribu mwenyewe kufikiria mkuu kwa bei hiyo ni mauaji kidogo na ukizingatia shamba tayari limeendelezwa na kuna kibanda cha kudumu, vifaa vyote vya bustani na miundombinu kwajili ya ufugaji.
Panda kidogo kubalance unufaikaji wa shamba.
Nafikiri umenipata mkuu!
 
Mkuu Kisima, Turiani iko umbali gani kutoka Moro mjini? Nipe contacts zako nikucheki nikirudi Town.
Haipo mbali sana ni mwendo wa saa1:00 kwa noah na sehemu kubwa ni rough road.(Barabara ipo hatua za mwisho kwenye ujenzi kiwango cha lami)
Nimekutumia PM mawasiliano yangu.
Karibu sana Mkuu!
 
Back
Top Bottom