Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habarini Wana JF mimi ni mwanafunz first year MWECAU Moshi, nilikuwa nahitaji chumba cha kupanga maeneo ya chuo au hata mbali kidogo na chuo. Msaada, nahitaji kuripoti Jumatatu ijayo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta oats ila sijui ni kitu gani na inauzwa wapi. Kwa kiswahili nimecheki naambiwa ni shayiri ila nimesoma mahali kwamba ina porridge yake. Sasa bado sijaipata vizuri, natafuta niende wapi...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Specifications: Android version 9.0.0 Ram 1gb Storage 16gb Nipo Morogoro natuma mikoa yote. 0672037238.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wateja walio na mabucha mikoani na wenye supermarket ninauza samaki aina ya sato na sangara kutoka ziwa Victoria kuanzia kg. 100 nakuendelea ninakutumia popote ulipo usafiri juu yangu. Sato...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za Wakati huu Watanzania wenzangu, natumai mnaendelea vema kabisa na majukumu ya ujenzi wa Taifa Letu Pendwa. Naoma niende moja kwa moja kwenye mada. Nimepata wazo la kuanza kutengeneza...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu wa Tanga Stones, Ninayo habari njema kwa sasa licha tu ya kuuza mawe as raw materials. Ninaye fundi anakata tiles za mawe viwango vya juu na anajenga kwa ustadi wa hali ya juu. Karibu...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Available now Stainless stell. Water resistance. Swiss made. Quality pure. Price 270'000. Free delivery. Mikoani pia unatumiwa. Utalipia baada ya kupokea saa yako. Calls and WhatsApp...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Chumba kinapangishwa kigamboni daraja la nyerere kodi elfu 60 mkataba miez 6 main road mpk kilipo ni mita chache sana Umeme matumizi yako na bill ya maji 3000 kwa mwez Haina udalali muhusika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bwana Macrice Daniel Mbodo amekutana na kufanya mazungumzo ya kibishara na Maafisa Biashara wa kampuni ya MultiChoice Tanzania maarufu kama DStv...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
iPad 2 Used Abroad (UK) Storage 16GB Nzuri kwa kusomea,biashara,ofisini,burudani (movies), watoto (cartoons & games) nk Bei : 220,000 Warranty miezi 6 Call, 0676175260 Kariakoo Agrey &Msimbazi...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
TOYOTA IST NAMBA D NZURI (Mwaka 2004) Haina tatizo lolote, Haijafunguliwa engin Well maintained, Full paid documents Engine Type 2nz, Engine capacity 1290 Haijarudiwa rangi, Full aircondition Bei...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunauza bajaji zisizotumia mafuta. zinatumia betri za kuchaji. ikiwa fully charged inaweza tembea km 80 hadi 100. Ni imara, na unapewa warranty ya mwaka mmoja. na spea zake zinapatikana kwa...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Kwema jamana Natafuta mashuka ya mtumba 6×6 na subufa ya mtumba iliyo safi kabisa.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari za wakati huu. Nikwamba nahitaji pondliner kwa ajili ya ufugaji wa samaki, yoyote anaejua upatikanaji wake naomba masada tafadhali! Asante
0 Reactions
0 Replies
468 Views
💫Njia ya Cold Press ziko namna 2,kwa kutumia Tui na kutumia nazi kavu,kaa nasi tukueleweshe; ⚡nazi zilizokomaa huvunwa kisha hukaushwa ili kuondoa Tui kubakiza mafuta.Zipo namna 2 za kukausha kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
*MICHIRIZI* [emoji830]MICHIRIZI ni sehemu ya ngozi iliyokufa..kama kovu vile....Ngozi ikifa hata seli za ngozi zinapozalisha ngozi mpya pale inashindwa kuonekana maana tayari ile iliyokufa iko...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 lililopo eneo tajwa hapo juu. Eneo hili lipo karibu saana wastani wa dakika tano kwenda chuoni kama litatumiwa kujenga hostel. Linafaa pia makazi nk. Umeme upo. Bei...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Gari ipo katika hali nzuri tuwasiliane whatsap kwa namba 0692235221
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Je wewe ni Mjasiriamali unayetaka kurasimisha Biashara yako Masoko Consultant Tumeanzisha Kitengo maalum kwa ajili ya kukusaidia katika kufanya Mchakato wa Kurasimisha Biashara yako kwa...
3 Reactions
43 Replies
7K Views
Tunauza nguo za mtumba quality za jinsia zote. Tupo kituo cha polisi sekei Arusha, mikoani pia tunatuma kwa uaminifu. Nguo zetu ni kwanzia 5,000 mpaka 50,000. Nguo ni nzuri sana, wasiliana kupitia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom