Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Iwe namba c Iwe dodoma Iwe haijawah kufunguliwa injini Iwe na kadi Iwe haijachoka Mwenye nayo anicheki 0689636330
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Nauza doormat za ndani 12000 tu size 40*60 Napatikana Dar es salaam [emoji338]0653959285/whatsupp Instagram @shop_with_lorah
3 Reactions
6 Replies
1K Views
64gb, no scratch no dent Ina wiki mbili tangu itoke Dubai Alikuwa anaitumia binti wa mfalme wa uarabuni Ipo Mbagala.. kariakoo unaletewa Unapewa na chaja yake Bei 250k, wa 200k msinitafute Piga...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Used bt its on exellent condition 500 GB 1 controler Hdmi, usb and power cable 2 top games cd - uncharted 4 - call of duty 3 black ops Iko na 3 bonus acessories - back cooling fen - power bank ya...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Nyumba ipo mwembe mdogo Kigamboni Ina vyumba vitatu kimoja master sitting Room jiko na public toilet Bei milioni thelasini na tano (ml 35) ipo mita 200 toka lami ilipo nicheki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TOYOTA ALLION NAMBA D ENGINE 1800CC IKO DAR BEI 6.4M(NEGOTIABLE) CONTACT 0762295954
1 Reactions
2 Replies
971 Views
Wadau, Natafuta fundi wa kunitegenezea kigenge duka kwa kutumia mbao na milunda, eneo ni Bunju B. Kama weweni fundi mjuzi nicheck DM tuyajenge.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukubwa 20*20m Msingi wa kisasa Tofali mia mbili zipo Gari inafika Umeme nguzo ipo site Bei 5m, mazungumzo yapo 0712464478
0 Reactions
11 Replies
1K Views
HYabari wakuu Nahitaji bajeti maeneo hayo :Mbezi,kimara, goba, Malamba mawili Bajeti kwa mwezi: 150,000 hadi 180,000 Piga 0713 039 875
1 Reactions
1 Replies
849 Views
Lg inch 32 Ina king'amuzi cha ndani kwa ndani (channel 7) Ina remote control Ina stand zake za chini Bei 300,000 fixed Haina tatizo but nashida nadaiwa kodi Loc. Dsm kawe 0713096076
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wadau wa kilimo? Naomba msaada wa maelezo ya tractor hlenye hp 50 na kuendelea. Pili kujua ni lipi zuri kati ya 4 wheels drive na 2, tatu upatakinaji wake Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
36 Replies
12K Views
Nauza sabufa aina ya seapiano bei 120,000 imetumika miezi 3 ila kama mpya. Mzigo makini mdundo mnene Inapatikana Ubungo Dar es salaam. Njoo pm tumalize biashara
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Bado jipya limetumika mwezi mmoja inc5/6 x8 Bei 160000 Karibu mawasiliano 0628509848
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza viwanja, vipo Chanika Zingiziwa (Dar es Salaam) km. 1.7 toka zingiziwa center. mita 20X20 (Tshs. 2,500,000/-) na 20X25 (Tshs. 3,000,000/-), kama uko serious tuwasiliane 0682826776
1 Reactions
18 Replies
8K Views
Pata spare unazohitaji, gari imepata ajali na vitu vyote vinauzwa kama spare, engine imeshanunuliwa, vingine vyote bado vipo angalia kitachokufaa kilichoharibika katika gari lako. Mawasiliano...
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Wakuu nina gunia 500 za mpunga uko Kahama nauza bei ya jumla 94000/= kama ukichukua zote, rejareja ni 98,000/= karibuni wadau Unaweza kunipa connection ukapata kamishen yako namba yangu...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Hello wakuu. Nipo natafuta chumba single. Kuanza life baada ya chuo. Naomba mwenye nyumba yoyote aliye maeneo hayo anisaidie room single Bajeti yangu ni 60k - 80k kwa mwezi. Dalali niseme hela...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Njoo na elfu hamsini kuna jiko la plate 2 la gesi la bati halina kazi hapa home, limetumika kama mwezi hivi Lipo Dodoma Mjini Tuwasiliane kwa namba 0755472769
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa Kigamboni mtaa wa kisota ambapo ni km 3.5 to kutoka darajani. Zipo nyumba mbili kwa pamoja ,nyumba ndogo(banda la uani) na nyumba kubwa. Nyumba ina vyumba 5 kimoja master, maji na...
5 Reactions
105 Replies
23K Views
Ni mfumo wa kitechnologia unaomwezesha mtoa huduma/Mfanyabiashara / Company kuwa karibu zaidi na mteja kwa njia ya messages. Tofauti na mifumo mingine, 2WM inaoption ya Chatting baina ya company...
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Back
Top Bottom