Je wewe ni Mjasiriamali unayetaka kurasimisha Biashara yako
Masoko Consultant Tumeanzisha Kitengo maalum kwa ajili ya kukusaidia katika kufanya Mchakato wa Kurasimisha Biashara yako kwa...
Tunauza nguo za mtumba quality za jinsia zote. Tupo kituo cha polisi sekei Arusha, mikoani pia tunatuma kwa uaminifu. Nguo zetu ni kwanzia 5,000 mpaka 50,000. Nguo ni nzuri sana, wasiliana kupitia...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri!
wakuu, mzigo umetoka!
kama uko interested in
Diploma in financial market operations
Diploma in Capital Debt markets
Diploma inSecurities & Derivatives
Huu mzigo...
Stop over auto parts, wataalam wa kuuza spares za Coaster aina zote na magari aina ya Coaster used,tumekuwa tukiwasaidia wanunuzi wa Coaster Used mambo muhimu ya kujua kabla hujanunua Coaster...
Nauza kifaa kimoja kinaitwa nextbase dash cam ni camera inayofungwa ndani ya gari kwa ajili ya kumonitor nyendo za gari.
Unaweza kuona matukio ya ndani ya gari ukiwa Popote pale kupitia simu yako...
Samahani wakuu nani anafaham viwanda vya samaki mwanza huwa mara nyingi vinanunua samaki kilo kwa bei gani?
Ukitokea mtu una labda tani tano za sato au sangara
Registration ni A, but gari ni kama mpya......engine ni 1NZ manual transmission SIO automatic....gari haina tatizo lolote zaidi ya kuwa manual[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Gari ipo Dodoma...
Hii kitu Arusha tunaipata ata Grocery ya mtaa lakini kila mkoa +Dar es salaam kupata ni shughuli
Kwingineko ata hawajui kama kuna kitu ka iyo.
Unamuuliza muhudumu yaani ata hajui kama kuna kitu...
Wakuu, nina shida na lines za chuo kwa upande wa Halotel na Airtel, mwenye kujua namna ya kuzipata anisaidie. Lengo langu ni lines hasa kwa ajili ya internet tu, sitaki madakika mm.
Maisha...
Eneo hilo kwaajili ya kujenga hotel au camp site, lipo pembezoni mwa hifadhi ya ruaha national park, barabara imechongwa mpaka hapo kwenye eneo.
Eneo limepimwa na hati ipo, ukubwa ni ekari 50, na...
Jipatie car washing Mashines kwa Tzs 300,000/= na Tzs 400,000/= mpya na zenye warranty ya mwaka mmoja. From RONIX A Premium Quality Products.
Sifa Zake:
1. 110/160Bar Sawa na 1600Psi/2300Psi...
Nahitaji TV inch 50 iwe hisense, lg, Samsung au brand inayofahamika ofa laki nane kamili, nipo Dar es salaam iwe haina kipengele chochote call/whatsapp 0753285898
Mobile phone lens.
Unahitaji kupiga picha za mbali za siri au zakawaida. Au wewe ni camera man Ila umekosa camera na unataka kutumia simu?
Tumia lenses hii ndogo inayopachikwa kwenye camera ya...
Wanahitakija Mabinti na vijana wenye uwezo wa kutoa Huduma ya Chakula/Hotel
Maombi ya kazi : Jinsi ya Kutuma maombi andika barua ya kuomba kazi ukiambatanisha na mawasiliano yako na vyeti...
Viwanja vipo Dar es Salaam Kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha Kigamboni College of Health and Allied Science,kwa bei nzur na viwanja vimeshapimwa vipo katika michakato ya hati
mita 35*35...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.