Salaam ndugu zangu
-Je unahitaji mtaalamu mshauri wa kukuongoza namna bora ya kulima mazao mbali mbali (Mazao ya Horticulture (Parachichi, Nyanya, Hoho, Tikiti Maji, Kabichi, Karoti, Pilipili...
Habari zenu, mimi ni kijana wa kitanzania niliyeamua kujiongeza kwa kufanya kazi za kufunga CCTV cameras, electric fence, bimetric doors n.k.
Tushafanya kazi nyingi karibu tukuhudumie tuko wawili...
Habari wanajamvi, moja kwa moja niende kwenye mada ya msingi. Nahitaji sehemu tulivu nipate kuishi na familia yangu yenye mama, baba na mtoto mdogo.
Vigezo;
1. Pafikike kirahisi
2. Easy...
Wakuu habari..
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kama wewe ni mtaalam wa decoration ya TV show kwa ukutani na uko
morogoro mjini nitafte PM nikupe kazi
Ni saaa nzuri za kisasa za ainatofautu
Zinapatikana kwa bei na fuu
Pia mzgo unaweza kutumwa
Au kuletewa popote ulipo
Kwa galama nafuu wahi sasa
Mawasiliano ni 0719257400
Niko dar maeneo ya Yombo...
Usiteseke kwenda madukani.wewe ni Mfalme kwetu tutakuketea bidhaa Yako mpaka mlangoni kwako.
[emoji2788] Delivery kwa Dar-es-salaam na mikoani
[emoji2788] Hata products ya bei ya chini tunakuletea...
Mafundi wanaita Conmix, wengine wanaita wallmaster. Bei ya soko ni tsh.110,000 mapaka 140,000, inategemea na makampuni.
Ujazo kwenye makampuni ndoo
Moja ni 25Kg, mimi ya kwangu ujazo wake ni 30Kg...
Tutumie uzi huu kuweka picha za fremu za maduka yanayopangishwa sehemu yoyote ile,tutaje pia mikoa zilizopo pamoja na bei zake. Picha ni muhimu zaidi ili kuweza kumvutia muhitaji. Karibuni......
Sunshare Investment Ltd.
Ni moja ya viwanda na wasambazaji wa mabati bora na vifaa vingine vya kuezeka kwa sasa nchini.
Vifaa hivyo vikiwa ni
__________________________________________
*Bati ya...
Anahitaji kufanya biashara ya samaki fresh kutoka Mwanza ziwa Victoria awasiliane na mimi nauza in bulk.
Pia wanaohitaji samaki kwa matumizi ya nyumbani karibuni tunauza ndoo kubwa na ndogo kwa...
Karibu sana
Kiwanja kiko Jijini Mwanza.
Kata: Muhandu
wilaya: Nyamagana
mtaa: Galilaya
kiwanja kimepimwa, beacon tayari zishawekwa
ukubwa wake ni 28 by 18 hatua za miguu.
Miundombinu yote...
Wakuu habari za majukumu,
Nilikuwa nahitaji laptop used ya kununua .specification ziwe hizi processor core 5 au 7. Generation ya 5 au ya sita HDD 500gb bajeti yangu Ni 400000 - 500000...
Habari watu makini.
Nieandaa project au mapango wa kufuga kuku inarange 10m to 15m, kwasasa niko Dar lkn huu mpango naenda kuufanyia Tarime cz ndo naishi huko.
Nahitaji Mtu ambae atasimamia huu...
Wakuu nitangulishe shukrani kwa wote mntaokuja tembelea uzi wangu. Idadi ya viroba ni zaidi ya 300 vilikuwa ni vya gysum ya good one kwa mwenye mahitaji ya viroba anicheki bei 300 kila kimoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.