Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,123
- 6,207
Nahitaji kabla ya weekend niwe nimeshapata. Muda huu nipo njiani kwenda kiwangwa. Nimeelekezwa kua ndio shambani huko, nikanunue kwa mkulima. Napokea direction za ziada.
Pia kama kuna kampuni inauza kwa jumla tuwasiliane immediately.
Kama wewe ni dalali, tafadhali usibadilishe bei ya bidhaa. Weka gharama yako ya huduma ya udalali separately, ikiwa ndani ya uwezo, nitatumia huduma yako.