Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za kazi wakuu, Kwa majina naitwa Hagai Anyimike, ni Fundi Simu, Radio, Tv na vifaa vingine vya umeme, lengo la kuandika uzi huu ni ombi kwenu hasa wakazi wa Dar es Salaam ikiwa unahitaji...
4 Reactions
35 Replies
8K Views
HALOTEL ni mtandao mpya wa simu Tanzania Uliosambaa Sehemu Kubwa, Huduma Nzuri, Bora na Bei Nafuu. Huu ni utambulisho wa Huduma na Bidhaa za HALOTEL.
10 Reactions
459 Replies
114K Views
Wauzaji wa samaki wa maji chumvi aina zote na bei raisi tupo DAR kivukoni,tunakuletea mpaka ulipo lakini tunakusafirishia Kama upo nje ya DAR. Call/SMS 0711756654 na WhatsApp 0719438200
3 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari nauza pikipiki aina ya tvs 125(used),iko dar es salaam kijichi. Bado iko vizuuri sanaa,injini haimjui fundi, full documents,na bado ina bima. Bei ni 1450,000 (mazungumzo yapo) ukihitaji...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zanguni heshima kwenu! Jamani nimedondosha digital camera imekata kile kikaratasi kinachounganisha mawasiliano ya screen na camera yote, imesababisha camera ikiwaka kunakuwa na gizo tu...
0 Reactions
4 Replies
998 Views
Kwa mkazi wa Dsm..yeyote ambae ana dish la satelite,yale meupe, ya bati,la futi 8,naomba anicheki inbox tufanye biashara..nna matumizi nalo..liwe Used,sitaki jipya Mfano wa dish hilo ni kama hilo...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, kwa sasa nina soko kubwa sana la mayai ya kienyeji. changamoto ninayoface ni supply na bei ya kununulia. Nahitaji mtu wa kunisupply Kuanzia tray 20-40 kwa week kwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mwanafunzi wa chuo kilichoo maeneo ya Science anatafuta chumba cha kupanga ambapo anaweza kufika chuo kwa kupanda basi moja. Maeneo ya Riverside Kijitonyama yatapewa kipaumbele.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hiki nikifaa chakutengenezea chapati Inatumia mkono Haitumii umeme Bei ni. 40,000 tu Dar Es salaam unaletewa Mkoani tunatuma ULIPO TUPO NA CHAPATI TAMU 0719257400 Karibu WhatsApp ree-classic-store
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Nyumba ya vyumba 3 self contained inapangishwa Kisota-Kigamboni barabaraya Damian do Amsi. Nyumba imeungana na nyingine 3 ambazo zinatumia geti moja, kila moja ina mita yake ya luku ila maji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu natafuta chumba Moshi maeneo ya karibu na KCMC..Chumba chenye choo ndani. Bajeti yangu ni 70k-90k kwa mwezi. Mwenye connection tafadhali naomba msaada
1 Reactions
7 Replies
1K Views
An example of a composting plant to be built in Dar es Salaam and neighboring townships 1. Introduction Kibanga Vision Health Services Limited (KVHSL) is a private company registered in Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
OFFER. OFFER. OFFER Fursa kwa wafanya biashara na watu wote. Jipatie raba kali za kike kwa shilingi elfu kumi na tano. Napatikana Karia koo Dar es salaam 0620239355
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa sh.300,000tu topup., Haipungui hata mia Clean as new [emoji3063] WhatsApp 0686289389.
0 Reactions
6 Replies
900 Views
Wanajamii, Naombeni ushauri nataka kumpeleka mwanangu kati ya shule hizi kuanza darasa la kwanza (grade 1) - Al Muntazir Boys Primary au St. Laurent Primary. Ipi shule nzuri kati ya hizi mbili...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Subaru forester Cross Sport Year 2004 Cc1980 Ej20 Turbo Price: 10m Loc; Airport DSM 0626409908
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine (strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti)...
0 Reactions
4 Replies
959 Views
Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti)...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Brothers & Sisters, ladies and gentlemen nawasalimu kwa jina la jamuhuri! Nina mafuta ya Alizeti halisi ambayo imepitia process zote za refinery na kuhakikisha yanabaki as clear as possible huku...
7 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom