MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 19,550
- 40,525
ZILISHAUZWA
Hiyo epson utanipa bei gani?Mimi nauza heat press pamoja na vifaa vyote vya kuprintia mug, kofia na sahani za size ndogo na kubwa pamoja na Epson L3111 vyote kwa Tshs laki saba (700,000/=). Nina hitaji muhimu sana nataka pesa.
Pamoja na hivyo, nakupatia baking paper maalum kwa ajili ya kufanyia transfer kwenye material unayoprint.
Nahitaji pesa by kesho.
laki3Hiyo epson utanipa bei gani?