Frame inahitajika maeneo ya Ubungo Riverside, Mwenge au Makumbusho

finance2014

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
314
79
Habari wanajamvi,

Nahitaji frame kwa ajili ya nguo za kike bajeti 150,000-200,000 maeneo ya Ubungo Riverside, Mwenge au Makumbusho iwe inatizama barabarani isiwe ndani wala ubavuni tuwasiliane 0716137965.
 
Tuseme riverside stand kabisa au na zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom