Unahitaji biashara yako ikue mara 3 ya ilipo sasa

Armani William

JF-Expert Member
Jul 3, 2014
248
734
Habari,

Natafuta biashara zinazohitaji kukua iwe katika kutoa huduma au kuuza bidhaa.

Wasifu wangu;

  • Uzoefu wa miaka 5 katika usimamizi na kuweka mikakati ya ukuaji biashara "Strategies for business growth"
  • Kukuza mitaji ya biashara
  • Kupata masoko mapya
-Kuboresha na kuweka mifumo ya usimamizi wa biashara
-Brand strategy

Lengo:

Kutoa ujuzi na elimu niliyonayo kuendeleza biashara kufikia watu wengi. Ni kitu ninachopenda kufanya.


Kama unahitaji huduma, ushauri au/na biashara yako ikuwe basi usisite kuwasiliana nami.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom