Natafuta Mkulima wa Ulezi anipatie Ulezi

Natafuta Mkulima wa Ulezi anipatie Ulezi

Hell2Heaven

Senior Member
Joined
Mar 3, 2021
Posts
173
Reaction score
465
Hello Guys.. naitaji Ulezi msafi usio na mchaga, ulio safishwa vizuri.

Kiwango itategemea na ubora

Aniambie bei ya Gunia moja anauzaje?
Yupo Mkoa gani?
Je anaweza Pakiza kwenye gari upokelewe Dar es salam? je akifanya hivyo itakuwa bei gani?

Uhakika wa kupata kila mara upo? naje ni kiasi gani?

Msimu gani ni mzuri kununua kwa bei nzuri zaidi.. ili tuwe partern wa muda mrefu?

Asanteni.

##Karibu Mkulima. Isiwe mchuuzi nataka mkulima mwenyewe##
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom