yello masai JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 3,927 Reaction score 4,199 Jan 26, 2022 #1 Wakuu mwenye kiti cha kukunja cha dizaini kama hii, nakihitaji. View attachment 2096102
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 39,163 Reaction score 79,393 Jan 26, 2022 #2 Kutiana majaribuni tu nikagombane na bosi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,235 Reaction score 197,004 Jan 26, 2022 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,245 Reaction score 111,290 Jan 26, 2022 #4 Umenifanya nikumbuke kwenye mieleka jinsi wale jamaa wanavyokuwa wanachapana na hivyo viti...
JAMBONIA LTD JF-Expert Member Joined Jan 22, 2014 Posts 584 Reaction score 276 Jan 26, 2022 #5 Cheki uzi wa anayeuza fenicha za saluni yake ya kike anacho kama hicho anauza hapo chini