Gari inauzwa Toyota Premio
Engine kubwa
Ina upungufu wa Real Lights, side mirrors, powerwindows baada ya wez kufanya yao.
Gari iko Dar Es Salaam
For serious buyers:
Check with 0782676842.
Habari zenu ndugu zangu JF leo tuangalie umuhimu wa flush cistern tank na matumizi yake na namna ya kufunga na ubora wake
Flush cistern tank ni kifaa maalum kwa ajili kuifadhi maji ya kusafisha...
Kwa mwenye huitaji Tunauza Mizinga na Makundi ya Nyuki kuanzia April 18. Tutakuwepo kwenye Viwanja vya 88 Morogoro Karibu tukuhudumie Toa order yako mapema!
Habari wana jukwaa.
Natumaini muwazima wa afya na mnaendelea kutekeleza majukumu yenu. Ningependa kuwashirikisha machache kuhusu kampuni yetu Watanzania ya TTCL
Kwanza nianze na huduma...
Hello, wakuu nafikiria kuangiza vipodozi kutoka nje ya nchi na kuviuza nchini kama retail na whole sale.
Naomba mwenye kufahamu hata connection ya online ya wasambazaji wa vipodozi kutoka nje ya...
Habari za wakati huu,
Mwaka 2003 nilibahatika kuhudhuria mnada wa mtu aliyeshindwa kulipa DENI. Mnada huu ulifanyika huku familia ikiwa ndani ya nyumba kwa mkopo ambao BABA alichukua kwa ajili ya...
FORTUNATE GROUP LIMITED
Ni wataalamu tuliobobea kwenye kujenga nyumba za aina zote za Kisasa na zenye ubora wa hali ya juu kwa gharama Nafuu
Tunatoa huduma zifuatazo;
TUNAJENGA NYUMBA ZA KISASA...
LG LED Smart Tv 42"(FULL HD)
Used from uk
2 hdmi port
av port
3 flash port
3D
Ethernet
Wireless LAN
WI-DI Technology
Digital Tuner DVB-T (MPEG4)
SATELITE RECEIVER
Ukiwa na Dish tu no decoder ya...
Biashara ya chips inauzwa ipo Yombo kituo chama, sehemu ya biashara ipo barabaran kabisa, kuna kila kitu kinachohitajika kwny biashara ya chips , na kod bado ipo miezi 4 ukifika ww nikuanza kazi...
Viwanja vya makazi ,vimepimwa vinauzwa kisongo ,matevez ,Arusha
Ukubwa ni kuanzia 20m× 20m kwa mil 6.5
10m× 10m kwa mil 1.5 .huduma muhim zote zipo umeme upo kwenye mradi tayari upo kwenye viwanja...
1.Nahitaji kujua ni wapi naweza pata duka la dawa (pharmacy) maeneo ya kariakoo lenye dawa za kila aina,,maana kuna dawa nimeandikiwa na daktari nimezunguka maeneo ya Kinondoni+Mwananyamala bila...
Habari yenu wana JF!
Nina vitabu vipatavyo 1570 vya softcopy na cover zake so kama upo na upenzi wa kusoma inspirational books au love stories au adventures au family issue, au Detective stories...
naitaki destok na PC aina yoyote chapu pesa ipo mkononi.
ila iwe kuanzia Core i3 adi Core i5, RAM 2-4 na storage GB 250 adi GB 500.
njoo chap inbox whatsap no 0766302495 na normal call 0758978546
Mwenye uhitaji wa BETRI ZILIZOTUMIKA KWENYE MINARA ninazo.
Usafiri kwa kahama, Singida,Dodoma, morogoro, Mwanza, geita bure mpaka inakufikia no utapeli ushahidi upo kwa wateja wote waliozipata...
Vyumba Vitatu vilivyopo kwenye Kiwanja chenye ukubwa wa Hatua 20 kwa 16 vinauzwa Nala,Dodoma.
Kila Chumba ni Self kwa maana ya kwamba kina Choo na Bafu ndani. Umbali kutoka Vyumba vilipo mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.