plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 913
- 1,591
Habari zenu ndugu zangu JF leo tuangalie umuhimu wa flush cistern tank na matumizi yake na namna ya kufunga na ubora wake
Flush cistern tank ni kifaa maalum kwa ajili kuifadhi maji ya kusafisha uchafu chooni (kinyesi,mkojo n.k) baada ya matumizi
KUNA AINA TATU ZA FLUSH CISTERN
TANK
1.High level hii na kwa ajili ya vyoo vya kuchuchumaa(Asian type) ufungwa futi 6 kutoka chini hili kuongeza pressure ya maji kuondoa uchafu.
2.Low level hii ni kwa ajili ya vyoo vya kukaa(European type) na pressure yake ni ndogo ufungwa futi 3 kutoka chini
3.Automatic hii ni flush cistern tank ambayo ina sensi mtu akimaliza kujisaidia utoa maji bila kubonyeza batani na mara ni maalum kwa watu wenye maitaji maalum wazee,watu walio pooza mara nyingi upatikana kwenye hospital..
VITU VYA KUZINGATIA UNAPO ENDA KUNUNUA FLUSH TANK
Ukubwa au udogo wa choo kama choo ni kikubwa nunua flush tank kubwa kama choo kidogo nunua flush tank dogo hili kubalance pressure ya maji kuondoa tatizo la harufu kurudi ndani..
Ubora na uimara wa flush cistern tank zingatia sana ubora hili pia ni tatizo baadhi ununua ambayo hayana ubora na uchukua mda mfupi sana baada ya kufungwa..
UFUNGAJI WA FLUSH CISTERN TANK
Kuna magroup mawili ya flush cistern tank
1.Ya kujengea ndani ya ukuta zina baki batani kwa nje haya uleta show nzuri kupendezesha choo lakini lazima ununue original la sivyo ita kughalimu kubomoa ukuta kufanya ukarabati.
2.pili ni yale yanayo onekana ni mazuri pia ni lahisi kufanya repair linapo halibika.