namatuhiyetu
Member
- Feb 27, 2022
- 56
- 82
Vyumba Vitatu vilivyopo kwenye Kiwanja chenye ukubwa wa Hatua 20 kwa 16 vinauzwa Nala,Dodoma.
Kila Chumba ni Self kwa maana ya kwamba kina Choo na Bafu ndani. Umbali kutoka Vyumba vilipo mpaka Barabara kuu ya Dodoma Singida ni dakika 5 kwa kutembea kwa miguu.
Bei ni maelewano,njoo tuzungumze tuyajenge.
Mhitaji anakaribishwa
0715666251