Nahitaji kujua ni wapi naweza pata duka la dawa (pharmacy) maeneo ya Kariakoo

Nyamambovu

JF-Expert Member
Jun 27, 2021
226
723
1.Nahitaji kujua ni wapi naweza pata duka la dawa (pharmacy) maeneo ya kariakoo lenye dawa za kila aina,,maana kuna dawa nimeandikiwa na daktari nimezunguka maeneo ya Kinondoni+Mwananyamala bila mafanikio.

2.Hivi hizi bima (NHIF)Kuna baadhi ya dawa tu ndo unaweza kupata au ni dawa zote??

Msaada tafadhali
 
Nenda nakiete mwenge, kariakoo ni maduka ya nguo
 
Nyie ndie mnaokuja Kariakoo na kuishia mtaa wa Congo kufanya shopping ya nguo za Mchina

Mleta mada, nenda mtaa wa Kipata/Nyamwezi, Kipata/Congo kuna pharmacy kama tofauti tofauti kubwa
 
Hizo conplications zote za nini wakati yeye anataka dawa moja tu!!?
 
Back
Top Bottom