Wadau Salaam,
NAUZA Boss Chest Freezer BE-200L WHT KAMA ILIOPO KWENYE PICHA HAPO CHINI. IMETUMIKA MUDA MFUPI. BEI TZS. 500,000 (Dukani kwa sasa ni 750,000).
IKO BUNJU, NIPIGIE 0754 34 36 42
Kuhusu SISI
Masoko Consulting ni Strategic Consulting Firm (Washauri waelekezi wa Kimkakati) ambao tunatumia mbinu za kisasa na utaalam wa kisasa katika kuwasaidia wateja wetu kutambua fursa na...
Habari za wakati huu,
Najua andiko langu linaweza kuwa na utata na kwa wale wanaopenda vya bure wakafikri sasa wamepata cha bure na kwa wale ambao huamini wakiitiwa fursa basi wao ni fursa...
Nafahamu zimesalia siku chache mno mwaka huu kufikia tamati, kwahiyo hakuna uwekezaji unaweza kufanyika kwajili ya mwaka huu.
Hata hivyo hakuna kitu kizuri kama kufanya maandalizi kabla ya...
Habari wadau!
Natafuta mafundi ujenzi wa nyumba n.k,kama
wewe ni fundi ujenzi naomba nitumie SMS kwenye namba hii 0687234549,halafu mimi mwenyewe nitakupigia baadae,Asante!
Kwa wanaohitaji usafiri wa kwenda kwenye usahili wa UTUMISHI (TRA) DODOMA nakurudi DAR tafadhali wasiliana nasi mapema 0719250926 fanya BOOKING mapema nafasi zimebaki chache
Cherehani Used ipo katika Hali nzuri inauzwa laki moja na 60 (160,000/=)
Inapatikana Dar es Salaam Msongola Stand nicheki 0658566851
Aina ya Butterfly.
Sent from my Infinix X655C using...
Je umewahi kusikia mtu anaitwa taka taka?Kama hujawahi kusikia au kukutana na mtu wa aina hiyo basi leo nataka tujadili kuhusu hii tabia ya watu kuwa taka taka.Sasa ili usitetemeke maana ya...
Mahali:Dakawa,km 7 kutoka barabara kuu ya Morogoro Dodoma
Ukubwa wa shamba ni heka 20
Shamba lipo pembezoni mwa mto Wami ambao unatiririsha maji mwaka mzima,hivyo linakupa option ya kulima mwaka...
Kazi zake;
Copying (black),
Printing (black),
Scanning (Color, grayscale, black & white),
Kwa ukubwa wa A3, A4, A5 n.k.
Inafanya kazi zote tajwa hapo juu.
Wino wake ni cheap na unapatikana sana...
thawabu motorcycle spare part ni wasambazaji spare za pikipiki aina zote za kampuni ya SLL PART kwa wale wote walio karibu na maeneo ya tegeta na viunga vyake na mikoa yajilani kama vile...
Hello Hello Dodoma
Hii hapa nawaletea kwenu.
FREMU Chumba cha biashara kizuri sanaaa.
Kipo Dodoma mjin katkat
Kina milango pande mbili
Panafaa kwa Ofis ama aina yeyote ya Biashara
Mfano.
_nguo...
Habarini wanajamvi
Ninaitaji eneo lililowazi na kubwa la kukodi Jijini DODOMA preferably maeneo ya Uzunguni (kuanzia maeneo ya NHIF mpaka Dodoma Hotel)
Liwe na sifa zifuatazo:-
1. Lifikike kwa...
Habari za wakati huu,
Miaka zaidi kadhaa iliyopita nilihitimu masomo yangu ya sekondari.Baada ya kuhitimu nilirudi nyumbani na tukakutana marafiki kadhaa ambao wote tulikuwa tumehitimu tukisubiri...
Habari zenu wanajf,,nakuja jukwaani kama kijana mjasiriamali anaechipukia,,nimekuja na biashara ya vitu vya mtumba kama vile SIMU,,,COMPUTERS,,,PLAYSTATIONS GAMES na vifaa vyake kama...
Hati ya kiwanja ipo
Huduma muhimu za kijamii zipo; maji ya Dawasco, umeme, huduma za afya, maduka, shule havipo mbali.
Eneo ni tambarare halituami maji kipindi cha mvua
Eneo hili linafaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.