Wapi naweza kununua vipodozi jumla nje ya nchi

Forrest Gump

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2021
Posts
757
Reaction score
2,141
Hello, wakuu nafikiria kuangiza vipodozi kutoka nje ya nchi na kuviuza nchini kama retail na whole sale.

Naomba mwenye kufahamu hata connection ya online ya wasambazaji wa vipodozi kutoka nje ya nchi e.g south africa etc.. anisaidie.

Karibuni
 
Njoo 0754306669
 
Back
Top Bottom