Natafuta gari aina ya Vits napatikana Dodoma bei mil 3 Nichek what'sup 0758214251.Asante
Note: gari iwepo dodoma na bei nilioweka ni fixed haipandi haishuki .
Ni Nikon D5300 (Used) ambayo utapewa ikiwa na lens 2
Lens ya 18-55mm pamoja na Lens ya 50mm MANUAL PRIME LENS
Lakini pia utepewa na STAND nzuri BURE kabisa ambayo Dukani huuzwa kwa 150,000/=...
Je, umeomba adsense umenyimwa au una blog ya Kiswahili unahitaji ads?
Basi hapa umefika tunakusetia matangazo ya admob yanasoma kwenye site / blog na yanaonekana vizuri tu na unapiga mpunga kama...
𝗡𝗶 𝘄𝗮𝗸𝗮𝘁𝗶 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗺𝗶𝗹𝗶𝗸𝗶 𝗘𝘅𝘁𝗲𝗿𝗻𝗮𝗹 𝗸𝗲𝘆𝗯𝗼𝗮𝗿𝗱 𝘀𝗮𝘀𝗮
Kuwa na keyboard ya nje Kuna wakati inakupa uzoefu Bora wa kuandika au kutumia kuliko ile iliyopo kwenye laptop yako ( built-in keyboard).
Unajua...
Shamba lipo Dar
Akitoka Kanda ya Ziwa itakuwa poa.
Sifa:
Anaejitambua.
Asiwe na Mume labda Mtoto 1
Awe Hajasoma sana,Std 7
Awe tayari kupima Afya
Kazi Yake;
Kupikia Wafanyakazi wa Shamba
Kuhudumia...
Ndugu habari.. !!
Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani...
Nina bidhaa za nguo za jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu...
Habari zenu wadau,
Nyumba Ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja self,sebule jiko na public toilet,ipo ndani ya eneo la mita za mraba 400,maeneo ya zingiziwa,Chanika.
Bei ni milioni 15
Starbay Electrical Works Limited
Registered Electrical contractor (CRB) class 6
We deal with below
-Professional electrical installation for both domestic and industrial.
-Data cable...
Habari wakuu,
Nauza Petrol Generator ndogo 1kw, aina ya Boss. Generator limetumika miezi minne tu, nauza sababu load imeongezeka so nahitaji Generator yenye uwezo mkubwa zaidi.
Bei Tzs 200,000/=...
Habari wanna jf...
Kuna mtu anahitaji chumba cha kupanga mwanza mjini kama unacho au unafaham kinapopatikana naomba unijuze ila usiwe dalali
chumba kinachohitajika ni cha 30,000 kiwe katika hali...
Njia mojawapo ya kuongeza thamani ya nyumba yako ya uwekezaji ni kuifanyia ukarabati. Ongezeko la thamani ya nyumba kutokana na ukarabati wa nyumba hutegemea sana maarifa sahihi aliyonayo...
Nyumba Ina vyumba viwili vya kulala sebule jiko na choo Cha public. Ipo kwenye fensi mazingira mazuri.
Ipo kwenye barabara ya mtaa, ipo Kigamboni darajani karibu na daraja la Nyerere.
Simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.