Nimeingia kwenye page yake nimekuta ameweka tangazo la Apps yake nikaenda Playstore nikakuta hiyo Apps ipo nimejisajili ila sasa inakubidi uwe na dollar moja kwa kuweza kupata subscription kwa...
Watu wote ambao mnahitaji fundi makini kwa bei nafuu sana, Fundi Umeme na ujenzi SAMICO kashusha bei kwa OFA.
OFA Inaitwa Jenga kwa elfu 50 kwa chumba! Hii ni ofa kwa watu watano tu mwezi wa...
Wakuu habari,Tunauza Pallets za plastic zilizo na ubora, kwa mwenye uhitaji anaweza kunicheki tufanye biashara na delivery yenye uaminifu.
Namba: 0757005897
Jamani nimezunguka majukwaa mengi natafuta mtu anaeuza sindano za kutengenezea carpets za namna hii popote pale Tz, maana nimehangaika kutafuta hadi sio poa, nimekuja na humu mnisaidie kwa muuzaji...
Habari..
Nauza vitu vya ndani, TV Samsung inch 32.. imetumika one month. Fridge kubwa(imeisha gas), sofa set, Kitanda na Godoro, Dressing table(a bit used), stand ya TV(Ya dukani), Kabati la...
Wakuu, poleni na majukum.
Ninaomba mnisaidie, hivi pumba za ngano ua zinapatikana wapi? kuna mtu kaniambia nijaribu kwa Bakhresa, hivi ni kweli naweza kuzipata apo?
Kuna mtu ana contacts zozote...
Kiwanja kipo eneo la Nzuguni centre kabisa kwa wasiokufahamu ni Karibu na stendi kuu ya mabasi ya mikoani na soko kuu la ndugai .
Kiwanja ni kwa ajili ya matumizi ya taasisi za kidini, shule na...
Wakuu, Jipatie Movies zako pendwa na Series.
🍿 MOVIE 1 - Tsh 1,000
🍿 MOVIE 7 - Tsh 5,000
🍿 MOVIE 15 - Tsh 10,000
💫SEASON 1 - Tsh 2,000
📍 Delivery In Dar 🛍
banda kubwa zuri la bati linauzwa bei 280,000 tu maongezi kdg yapo halina tatizo lolote!lipo kigamboni linahamishika kama unalihitaj nipigie 0653110660
Leo tunatoa ofa ya usajili wa Kampuni au jina la biashara kwa punguzo la 60%. Ofa hii itaisha ndani ya siku tatu. Popote ulipo huduma hii itakufikia, karibu tukuhudumie.
Wasiliana na kwa simu...
Goodmans HD Projector UK Brand
Model : 363566
Full HD Projector 1080p✅
2000 LUMEN Led ✅
Built in Speakers✅
2 HDMI input + VGA✅
USB (Flash pamoja na SD Card)✅
Bluetooth (Unaconnect kwenda...
Wadau naomba msaada, nahitaji kuwa nanunua mbuzi wengi kwa wiki katika mnada wa mbuzi Vigwaza.
Mwenye uzoefu wa siku zipo kuna mnada na bei zake.
Natanguliza shukurani!
PS3 yangu imepata hitilafu.
Naskia kuna mafundi wananunua PS3 mbovu ndio maana nimekuja hapa.
Ilikuwa inafanya kazi vizuri toka nilipoizima jana (27/07/22). Ila sasa leo nimeamka niiwashe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.