PS3 yangu imepata hitilafu.
Naskia kuna mafundi wananunua PS3 mbovu ndio maana nimekuja hapa.
Ilikuwa inafanya kazi vizuri toka nilipoizima jana (27/07/22). Ila sasa leo nimeamka niiwashe...
Wadau mimi ni mpenzi wa ujenzi sana ningependa kwenye huu uzi tujadili mambo mbali mbali na gharama na mitindo mbali mbali ya ujenziii.....
Tuanze na hii nimependa sana huu ujenzj wataalamu...
Kutoka kwa Yericko
Habari njema kwangu na kwa Watanzania nikuwa Kitabu chetu pendwa cha Ujasusi baada ya kuingia makubaliano na kampuni ya Kindle Publishers ili wauze kitabu kupitia amazon.com...
PRICE:5.8 M
MODEL:Starlet Glanza ep91
ENGINE: 4e fe 1331cc
YEAR;2002
TRANS: Atomatic
Push to start keyless entry
Underseat subwoofer
Sports rims
Spare tyre wheel...
Nauza subwoofer ya Gari. Imekuja na Gari. gari ina mziki mkubwa sana naiondoa.
inakuja pamoja na waya wake wa kufungia
Ina mziki mzuri sana. ukiwa na hii Huhitaji kujaza buti zima mamitungi...
Tunatoa Huduma za kukusaidia kupata wateja kama una mali unauza ama unataka kupangisha ndani ya jiji la Dodoma.
Pia Tunauza na kukusaidia kukupangisha.
Nyumba, vyumba vya makazi ama biashara...
KILIMO NI BIASHARA
POWER TILLER OR WALKING TRACTOR
BRAND SHAKTI MADE IN CHINA LAKINI IMEDIZIINIWA KWA SOKO LA INDIA .
Hii ni nzuri sana kwa kulima,kupalilia,kuengeneza matuta nk.ina matairi ya...
TUNAUZA NG'OMBE WA #MAZIWA (#DAIRY #CATTLE)
Hawa ni Ng'ombe wa #maziwa wapo wanao kamuliwa lita 10 - 24 kwa siku wapo na #mitamba
simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 765 291 489
+255 625 994...
*TANGAZO TANGAZO*
[emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219]
Shirika la *PRA - Tanzania* linawaletea Watanzania wote Mafunzo ya Ufugaji wa Nyuki...
Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini
Ina vyumba vitatu kimoja master
Jiko, sebule, dinning na public toilet
Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000
Hati miliki mkononi
Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu...
Habari zenu wana Jf,feni yenye picha hapo chini inauzwa bei ni Tshs 45000
Feni ni nzima haijawahi kufunguliwa
Inapatikana Gongo la mboto Moshi Bar
0689 150 968
Wakuu kama bango linavuosomeka
Nipo maeneo ya tabata ninauza gauni nne za harusi na za kisasa kwa bei chee kama zinavyoonekana hapo chini
Bidhaa: Gauni nne za harusi za kisasa
Bei: Laki tatu na...
Habarini jf, natafuta fundi au mtu yoyote ambaye anaweza kujua chimbo ya viti vya ukumbini hususani lecture rooms ya idadi ya viti kama 200 kwa 250 seats kwa dizaini ya viti ndo kama hi, naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.