Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Samsung Galaxy A32 4G for Sale Korean version In partnership with LGU+ Condition: Used but in excellent condition Memory capacity: 64GB Colour : Powder Pink Display: 6.4inch Super AMOLED RAM: 4GB...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
BEI ZA OFA (PUNGUZO) TV KWA LEO BOSS 32(single kioo).....285,000 49(smart vioo viwili)..850,000 39.......470,000 NATIONAL 32(vioo viwili)....300,000 MR UK 32(double)....300,000...
6 Reactions
14 Replies
27K Views
Heshima kwenu wadau , Cummins 60kva Diesel Generator ipo sokoni nicheki 0710 881879.
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Pata viwanja eneo la mbezi mzalendo kuanzia 10 kwa 10 sq meter 100 kwa shilingi mil 1 na laki 2. Pia kuna eneo lingine lina ukubwa wa 10 kwa 10 tofali 500 na nondo 10 kwa shilingi mil 2 na laki 5...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nvidia gtx 1080 ti 11gb graphic card Inapiga game yeyote unayoijua ww up to 4k Pia kwa wale waofanya video editing ,graphic disighn au wanachora majengo wanaotumia lumion card hii Bei 1.4m...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Natafuta kiwanja kuanzia pugu kuelekea town kama ukonga ivi kwa ajili ga ujenz wa nyumba ....niinbox au tunawez aelekezana hapa
0 Reactions
1 Replies
559 Views
Kwa anayehitaji cheti cha Pharmaceutical technician kinapatikana Location: Dar es Salaam Phone No: 0763060804
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii. Mwenye gari Suzuki Escudo old model au RV4 old model nahitaji. OFA yangu milion 10 itaongezeka kutegemea na ubora wa gari. Naitaka ya shughuli ya mashambani huko maana ni ngumu.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Njoo upate eneo la biashara lenye magorofa ya kutosha, haina udalali mmiliki ni mimi mwenyewe. Hati ipo Unaweza kwenda jiji ukamchukua surveyor mwenyewe mkaenda nae hata bila kuniambia...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Tuna uzoefu wa kutosha kuweka tiles za aina zote kwenye majengi makubwa na wadogo. Tumefanya kazi na baadhi ya wakandarasi wakubwa na wadogo kwa zaidi ya miaka mitano Tulianzia dar lakini sasa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Rejea kichwa cha habari,naongea na wanunuzi wa simu used hasa kariakoo mnachukua tahadhari mnaponunua simu hizo?mf jamaa wanaweza kuletewa simu dukan mtu analeta simu anaongezea na hela kidogo...
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Wakuu nauza hii sea piano yangu bei nzuri sana. Bado kama mpya na haina tatizo lolote. Bei ni Laki mbili na nusu (Tsh 250,000). Maongezi yapo. Ipo Kivule- Mwembeni 0785220408
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nauza gari tajwa hapo juu kwa pesa za kitanzania sh 14, 000, 000 japo maongezi yapo. Gari ipo Kibaha Mlandizi njoo na fundi wako ukague ukiipenda tunayajenga. Gari ni ya diesel na ni manual...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Dar es Salaam, Tanzania, 06 Julai, 2022- TECNO Mobile Tanzania, chapa ya simu za kisasa na bora duniani ambayo imekuwa ikitoa teknolojia ya kisasa zaidi kwa watumiaji, leo imetangaza uzinduzi wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari, Wanao hitaji kubadilisha Chinese Yuan kwenda Tsh au Tsh kwenda chinese Yuan kwa bei poa wanitafute. Mawasiliano yangu: 0747744895
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Nyumba inapangishwa Tabata shule. Nyumba ipo ndani ya fensi ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, choo cha ndani, maji ya bomba. Kodi laki mbili kwa mwezi Call me 0747744895 Mnakaribishwa.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu nauza kabati dogo la nguo, Bei 150k Location Mbagala Zakhem karibu na Dar Live.
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Petrol station Plot No: 323 Complex Plot No: 324 Location: kigamboni-mbutu
1 Reactions
3 Replies
592 Views
Ebwana wakuu, nahitaji kujua wapi naweza kupata iPhone X used. Nataka used kwa sababu sina hela ya kununua mpya. Naweza pia kutrade iPhone 6S nikaongeza kiasi kidogo kupata hiyo X.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni muda sasa natumia pasi aina tofauti lakini hazidumu, zimekuwa zinaharibika au kuungua sana. Mwenye kujua aina nzuri ya pasi na ikiwezekana na bei yake anisaidie. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
54 Replies
17K Views
Back
Top Bottom