Nyumba inapangishwa kivule

Nyumba inapangishwa kivule

chapaswa

Senior Member
Joined
Mar 5, 2016
Posts
100
Reaction score
214
Nyumba ni mpya kabisa hajakaa mtu, ina vyumba sita, sebule na fremu ya nje, ina fence, vyumba vitatu ni masters, inaweza ku accomodate familia mbili. Umeme maji ni uhakika, ipo barabarani, barabara ya kivule- banana. Bei 800,000/= kwa mwezi
IMG-20220310-WA0024.jpg
IMG-20220310-WA0026.jpg
IMG-20220310-WA0022.jpg
IMG-20220310-WA0019.jpg
 
Nilipe laki 8 kwa mwezi halafu nikakae Kivule wakati Kariakoo kuna apartments za laki 5 vyumba vinne
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom