Mwasapile
JF-Expert Member
- Apr 20, 2020
- 215
- 454
Nashauri ungeweka maelezo kidogo kuhusu hizo aina kwamba linafaa kwa kazi zipi ngumu or rahisi kidogo na bei yake, ili watu wakipita wanapata full details na kufanya maamuzi.Unataka trekta la HP ngapi!?