Katika utekelezaji wa miradi, wakati mwingine mteja (client/beneficiary) hutarajia huduma zenye ubora wa kiwango fulani/mtindo fulani tofauti na uwezo wetu katika kuzalisha. Hali hii kwa kiasi...
Kiwanja chenye ukubwa wa sq.909, kinauzwa, bei milioni 5.5
Kipo Nghonghona, kilomita chache sana kutoka Benjamin Mkapa Hospital, Dodoma. Kimepimwa. 0779017650
Kimewekewa beacon kabisa, very...
Tunazo sub woofer za aina mbali mbali kutoka sea piano,aborder,pinetech na keptech.
Dar es salaam na maeneo ya jirani unaletewa mpaka nyumbani,mkoani tunatuma pia.
tunafute vica electronics...
Nauza simu aina ya infinix hot 12 i imetumika wiki moja tu.Ina document zote risiti na warrant card ya mwaka mmoja toka infinix
PROPERTIES
1.RAM 2.00 GB
2.ROM 64GB
3.CAMERA 8M
4.13M TRIPLE CAMERA...
Zimetumika kwa muda usiozidi mwezi 1 kutoka zimenunuliwa dukani. Zipo kwenye mabox na risiti zake zipo. Cherehani laki 2, over rock laki 1.5. Karibuni (0783 708437)
Nauza fridge kubwa ya milango miwili ipo keko dilers,inafanya kazi vizuri.bei yake 260,000.
Pia kuna frizer ndogo iko poa pia inafanya kazi vizuri imezungushiwa copper ndani .rangi yake iko poa...
Habari za wakati huu Wana JF.
Leo nimerudi tena Ndugu Zanguni, Nauza Milango MITANO (5) ya MNINGA.
Ni mipya kabisa, bei ni tsh Laki mbili na elf hamsini (250,000/=) kwa mlango MMOJA. Maongezi...
Habari za mchana kwema wana jf, twende kwenye mada.Siku hizi magari yamekuwa adimu sana watu hawataki kutuuzia magari yao ya namba D na sisi tuvimbe nayo mtaani.wakati sasa namba E uko inakimbia...
Habari ya mchana waungwana, gari hii hapa haina shida yoyote ni nzima kabisa.
Gari ipo Goba njia ya kwenda Madale.
Bei ni 9.5 pekee.
Ukitaka kuiona, kukagua na kumaliza ama picha zaidi nicheki...
Toyota landcruiser 2003
Ni Manual inatumia diesel
Mileage 169,000
Bei ni Milioni 28 (fixed)
Ipo mikocheni dar es salaam
Haihitaji dalali
Mawasiliano 0782780980
Habari jF,
Kwa niaba ya mdau wa hizo kontena, naomba kutoa taarifa kuwa kontena za futi 40 na futi 20 sasa zipo na zinapatikana kwa bei rafiki kama ifuatavyo:
40 feet kwa 8M
20 feet kwa 6M
Yard...
PTZ wireless camera - Hii ni camera inayojizungusha mahususi kwa ajili ya ulinzi na usalama wa eneo lako kama biashara au nyumbani.
[emoji654]ina uwezo wa kuzunguka na kuona pande zote kwa picha...