Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa mahitaji ya chakula safi na salad kwenye Harusi Send-off kitchen Pat Bathday mikutano Semina na hata misiba tupigie 0689198969. Tupo Kunduchi Dar es salaam. Tunakuletea ulipo.karibuni sana.
1 Reactions
2 Replies
832 Views
Shamba zuri sana kwa kufugia kitimoto linakodishwa. Lipo Kibaha Kwa Mathias Sifa zake; mabanda mawili makubwa yanafaa kwa kufugia nguruwe, kuna store ya chakula cha mifugo, nyumba ya kukaa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zanu, Natafuta shamba la kununua (siyo viwanja) kwa ajili ya kilimo na ufugaji, kuanzia ekari 5 hadi 10. Eneo liwe na ardhi nzuri kwa kilimo na ufugaji, maji yawe yanapatikana shambani au...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Ina support mitandao yote ni 4g LTE Bei 55,000 Mpya dukani ni 120,000 nipo Ubungo - Dar es salaam IMESHAUZWAAA
1 Reactions
7 Replies
783 Views
Solid State Driver (SSD) Ndo suluhisho la uzito wa Computer yako! Simple tu Unatoa Hard Disk unaweka SATA SSD ata kama machine yako ina Ram GB2 lakini ukiwa na SSD Computer yako itakuwa nyepesi...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Baada ya zoezi la kurudisha channel za nyumbani (local channels) katika king'amuzi cha DSTV bei yao ya kufunga king'amuzi kipya kuwa 59,000/ huku AZAM wakibakia na bei ya king'amuzi kipya...
22 Reactions
347 Replies
49K Views
Habari Kiwanja kinauzwa Chanika maeneo ya Buyuni, Kigezi Kina ukubwa wa 1600 sqm bei ni milioni 18, ama ukitaka kukatiwa pia sawa Maelezo zaidi DM
0 Reactions
3 Replies
889 Views
Waungwana najua shida kill mmoja wetu humpata nakuamua kuuza kilicho chake hatakama anakipenda kiasi gani ili kimsaidie hivyo na mimi msaada wa kutatua tatizo langu nimeamua kuuza simu yangu...
0 Reactions
10 Replies
597 Views
Sehemu: MWANZA USAGARA-NYANGHOMANGO. [emoji2518] Ina vyumba vitatu kimoja ni master, sebule, public toilet, [emoji312] Kiwanja cha nyuma kilichobaki 15 kwa 23, unaweza kujenga nyumba nyingine...
0 Reactions
2 Replies
703 Views
Lipo Kijiji Cha yakobi Katika halmashauri ya mji njombe Mkoani njombe Lipo barabara kuu ya lami ya njombe-songea Kutoka bararani mpaka shambani ni umbali wa mita 850 Parachichi zina umri wa...
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Iko katika hali nzuri ni ya January 2021. Ina vitu na nyaraka muhimu kama ifuatavyo: 1. Bima hadi Feb 23 2. Latra hadi Jun 23 3. Mapato TRA hadi Dec 22 4. Imefungwa GPS 5. Imejengewa vizuri...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Limetumika wiki mbili tu Bado nzuri sanaa Bei -600k Risit yake ipo
0 Reactions
4 Replies
968 Views
Habari wakuu Kwa anayehitaji Containers za 40ft ziko katika condition nzuri kabisa na zipo nyingi kama unahitaji basi nicheki tuzungumze Bei 4600 USD LOCATION KURASINI .
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wakuu daah nilinuanua hisa bila kutafuta washauri sasa nahangaika maana hata kuuza mawakala wote wanasema Hakuna mteja nimejaribu hata kuomba wanipe kiasi chochote Hakuna majibu. Nimeleta...
1 Reactions
162 Replies
29K Views
Kuna laptop inahitajika kwa mtu ambaye anayo mpya.nicheki dm
0 Reactions
1 Replies
431 Views
Nauza simu yangu Infinix not 7 Ina ram GB 4 Storage gb 64 Nipo kimara nataka 220 Call 0625772790
0 Reactions
1 Replies
424 Views
Helmet ya Harley davidson original na Beg lake naiuza kwabei nzuri kabisa.Nilinunua kwamatumizi yangu kutoka Dubai showroom Harley anaeelewa vizuri hii brand bei Tsh.500,000/= mawasiliano 0769618684
0 Reactions
8 Replies
751 Views
Habari JF. Natafuta chumba kigamboni chenye choo cha ndani na geti la kulaza chombo cha usafiri. Maeneo yafuatayo 1 Mikadi 2 maweni 3 The giant. Chumba chenye choo ndani! Ahsante Sana
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Rejea na somo hapo juu, nahitaji msaada wa kupata soko la mtu mmoja mmoja au kampuni ambayo inaweza kununua konokono na jongoo wa shambani na sio wale wa baharini. Ukinisaidia kupata soko utakuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom