Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari ya asb samahani watz mlioko Singida nijuze bei ya jumla kwa kilo 100-120 VITUNGUU( gunia)
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Fundi umeme na madish aina zote nipo hapa.nafanya kazi kwa uwakika na kazi mzuri.bei zangu za kawaida tu wala hatuwezi shindwana.kwa sasa nipo Dar es salam. *Wireling safi na salama *Tunafunga...
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Pata Tovuti kwa biashara/kampuni yako kwa gharama ya Tsh 230,000/-. Hii ikiwa ni pamoja na gharama ya Domain na hosting. Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
4 Replies
583 Views
Habari wakuu, Eneo hili linapangishwa kwa matumizi ya bar(pub), groceries, mgahawa na biashara nyingine kama ulionavyo lipo maeneo ya Tabata(DSM), Kodi kwa mwezi ni laki mbili(200,000/=) Kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ilo la upande wa kulia. Nicheki kwa 0746243817
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Habari ndugu zangu wa JF poleni na majukumu ya hapa na pale. Sisi ni mafundi ujenzi tunajenga nyumba aina yoyote kulingana na mteja anavyo itaji kwa ubora mkubwa na kwa gharama nafuu zaidi..Vile...
2 Reactions
6 Replies
816 Views
Pump ya kumwagilia inauzwa inch 3 800000 bargain Ipo nicheki 0710881879 Nipo mwenge Dar
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nauza RAM 4GB ya Laptop Bei: 35k Dm me or nichek 0621554787
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Ni mafundi wazur wa rangi za kisasa pamoja na material design mbali mbali kwa kupiga nje ya nyumba na kuleta muonekano mzuli wa nyumba yako kwa mawasiliano zaidi cm namba 0718884670
0 Reactions
53 Replies
15K Views
Nauza bajaj no MC 263 CED bei 3M, ipo Mbezi Mwisho no. 0766030011, Haina tatzo lolote.
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Habarii za usiku ndugu zangu wanaJF Kama inavyoonesha hapo juu mimi ni kijana nahitaji shamba kwa Morogoro kufanya shughuli za kilimo kwa kukodisha iwe eneo lenye maji inakua inapendeza zaidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwema Wakuu, Its in my hopes y’all fine. To The Matter Ebana nina Canter Box Body Tonne 3 nmenunua 3rd Hand Kwa Mtu Hapa Dar…Sasa nataka ni toe ile box body niweke kwenye hyo canter tipper na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau, tafadhali nahitaji gari aina ya ist au raum ila tufanye exchange na kiwanja kigamboni kimbiji ambacho kina hati tayari toka ardhi ukubwa ni sqm 520 Kwa mawasikiano nicheki 0762987034...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
TUNAUZA MASHINE YA KUKATA/KUCHAKATA MAJANI WE ARE SELLING GRASS CHOPPING Bei ni 1,550,000Tsh Call/Text/: 0656873718 Whatsapp: 0719765056 Location; Dar es salaam, mabibo mwisho DETAIL SIFA ZA...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Samsung Galaxy A32 4G for Sale Korean version In partnership with LGU+ Condition: Used but in excellent condition Memory capacity: 64GB Colour : Powder Pink Display: 6.4inch Super AMOLED RAM: 4GB...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
BEI ZA OFA (PUNGUZO) TV KWA LEO BOSS 32(single kioo).....285,000 49(smart vioo viwili)..850,000 39.......470,000 NATIONAL 32(vioo viwili)....300,000 MR UK 32(double)....300,000...
6 Reactions
14 Replies
27K Views
Heshima kwenu wadau , Cummins 60kva Diesel Generator ipo sokoni nicheki 0710 881879.
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Pata viwanja eneo la mbezi mzalendo kuanzia 10 kwa 10 sq meter 100 kwa shilingi mil 1 na laki 2. Pia kuna eneo lingine lina ukubwa wa 10 kwa 10 tofali 500 na nondo 10 kwa shilingi mil 2 na laki 5...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nvidia gtx 1080 ti 11gb graphic card Inapiga game yeyote unayoijua ww up to 4k Pia kwa wale waofanya video editing ,graphic disighn au wanachora majengo wanaotumia lumion card hii Bei 1.4m...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Natafuta kiwanja kuanzia pugu kuelekea town kama ukonga ivi kwa ajili ga ujenz wa nyumba ....niinbox au tunawez aelekezana hapa
0 Reactions
1 Replies
558 Views
Back
Top Bottom