Nahitaji fremu au eneo la biashara

Nahitaji fremu au eneo la biashara

Tariq f

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2021
Posts
233
Reaction score
347
wakubwa habari

Nina shida na fremu au eneo la biashara kwa ajili ya uuzaji wa vitu kama juisi vitafunwa na chips, kwa maeneo ya temeke dar es salaam na pia liwe linaruhusu biashara hizo hapo juu

Bajeti yangu kwa eneo ni elfu 50 kwa
Mwezi
Nipo temeke Dar es Salaam
Kama lipo please naomba tuongee biashara
 
Back
Top Bottom