Tunauza magodoro vitasupreme

Frankdaniel711

JF-Expert Member
Oct 8, 2018
366
140
Habari rafiki, karibu ujipatie godoro nzuri ya uhakika kiukweli hauta jutia kabisa.Nakushauri kitu kimoja kwenye sekta ya magodoro kuna aina nyingi sana za godoro na kwa watu wengi tunakalili majina tu.

Utajuwaje godoro ni la uhakika

Uliza density na iyo density iyanzie 25 hapo itakuwa angalau umepata godoro

Kava yake je ninyepesi au nzito

Na iyo godoro je ina nembo ya TBS Na superland

Je warranty ni miaka mingapi, kwenye upande wa warranty kuna godoro azina warranty kabisa izo sio nzuri godoro nzuri chukua warranty kwanzia miaka 5

Tunatakiwa kufahamisha jamii kipi ni kipi. Binafsi yangu siuzi godoro ili nifaidike mimi tu hapana naomba ununue godoro hii kama unataka godoro nzuri kiukweli auta jutia

inaondoa maumivu ya mgongo,

ina density ya 28
Warranty miaka 7
inanembo ya T B S pia superbland

Size za godoro zipo nyingi ila naomba nitoe bei ya size ya 5 x 6

Inch 8 laki 400,000
inch 10 laki 550,000
inch 12 laki 650,000

Namba zangu piga 0677423349
Tutaongea na godoro nitakuletea kama ni mkazi wa dar es salaam

Tunapatikana kinondoni
Karibu wote

20210928110433_1.jpg
20210928110433_3.jpg
makinifurniture_-1_%2B_CT8_8A2qwur.jpg
makinifurniture_-5_%2B_CT8_8A2qwur.jpg
makinifurniture_-4_%2B_CT8_8A2qwur.jpg
20210928110433_4.jpg
 
Frankdaniel711 Umesema kuwa magodoro yenu yana density ya 28.Je,density ndogo kabisa kwa magodoro ni ngapi na density kubwa kabisa kwa magodoro ni ngapi?

Nataka niyajue haya ili niweze kulinganisha na density ya 28 ambayo ndiyo density ya magodoro yenu ili niweze kujua ubora wa magodoro yenu.
 
Frankdaniel711 Umesema kuwa magodoro yenu yana density ya 28.Je,density ndogo kabisa kwa magodoro ni ngapi na density kubwa kabisa kwa magodoro ni ngapi?..
Kwa uzoefu wangu na nijuavyo density ambayo uimiliwake ni wa kiwango cha kawaida ni 24kushuka chini iyo nikama daraja c na daraja B ni 25 mwisho 27 na daraja A ni 28 na iyo 28 ndio kwakiwango ambacho najuwa ndio cha mwisho lakini sizani kama kuna zaidi ya hapo ila nazani umepata mwanga kidogo
 
Bora mtoe na elimu, sisi tunaolalia vipande vya mkeka tuwe na mwangaza tukitaka kuagiza godoro..

Enhee 6*6 inchi 10 na 12 bei zikoje?
 
Bora mtoe na elimu, sisi tunaolalia vipande vya mkeka tuwe na mwangaza tukitaka kuagiza godoro..

Enhee 6*6 inchi 10 na 12 bei zikoje?
Mimi nimeongea kulingana na uzoefu wangu na sitaki mtu anunue godoro leo kesho anilalamikie wengi walionunua magodoro yakabonyea uliza density zoa ndio izo ndogo
 
Mimi nimeongea kulingana na uzoefu wangu na sitaki mtu anunue godoro leo kesho anilalamikie wengi walionunua magodoro yakabonyea uliza density zoa ndio izo ndogo
Ndio maana nimekupongeza kwa kutoa elimu

Haya nipe bei elekezi kwa godoro nilizoainisha hapi.
 
Karibu Wana jf mjipatie magodoro aina zote zipo ila leo nime waletea post ya magodoro kutoka kampuni ya VITAFOAM

Aina hii ya godoro ni Furaha super na kiwango Cha ubora ni kiwango Cha kawaida Chenye density ya 22 pia kiwa na warranty miaka 2

Size zote zinapatina. Ila nitakupa tu za 5 X 6

Zipo 5*6*6 = 145,000
Zipo 5*6* 8 = 185,000
Zipo 5*6* 10 = 260,000
Zipo 5*6 *12 = 295,000

Kama wewe ni mkazi wa dar es salaam na unaitaji godoro basi naweza kufanya huduma ya kukuletea nyumbani kwako

Kuhusu nauli nitakulipia Mimi mwenyewe kama endapo unapo ishi sio mbali na kituo

Mawasiliano
0677423349

Zipo hewani muda wote na Whatsapp pia zipo

Tupo kinondoni/kawe dar es salaam
 

Attachments

  • IMG_20220806_144234_831.jpg
    12.4 MB · Views: 26
  • IMG_20220901_134612_224.jpg
    10.3 MB · Views: 24
  • IMG_20220806_144417_625.jpg
    9.9 MB · Views: 21
  • IMG_20220806_144227_867.jpg
    12.9 MB · Views: 21
  • IMG_20220901_140027_413.jpg
    IMG_20220901_140027_413.jpg
    995.6 KB · Views: 24
  • IMG_20220901_135205_866.jpg
    9.9 MB · Views: 12
  • IMG_20220901_135650_193.jpg
    10.8 MB · Views: 11

Similar Discussions

Back
Top Bottom