Karibu kwa mahitaji ya asali mbichi. Tunasafirisha mpaka nje ya Tanzania kama Kenya, Uganda n.k

nsereko m

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
2,948
2,000
unapatikana wapi? bei ni vyema ukiweka na bei ili mnunuzi afanye tathmini kabla ya kukutafuta bila kusahau namba ya simu.
 
rojonti

Member
Mar 28, 2015
26
45
unapatikana wapi? bei ni vyema ukiweka na bei ili mnunuzi afanye tathmini kabla ya kukutafuta bila kusahau namba ya simu.
Tunapatikana Dar es salam bei ni maelewano haiko fixed kwasababu itategemea na sehemu inakwenda kwa kutegemeana na usafiri ama nchi n.k
 
nsereko m

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
2,948
2,000
bei ya hizi zilizofungwa kama ni say 540gm au 360gm ni kiasi gani kwa rejareja na jumla ni kiasi gani?
 
rojonti

Member
Mar 28, 2015
26
45
bei ya hizi zilizofungwa kama ni say 540gm au 360gm ni kiasi gani kwa rejareja na jumla ni kiasi gani?
Nsereko hizo zilizopo kwenye katoni kuna carton kubwa na ndogo na kila katon ina chupa(plastic bottles 24) vile vile hizi zinasafirishwa ndani ya nchi sio nje ya nchi. Tumia whatsapp namba yangu hii 0756587380
 
Dec 11, 2016
89
125
Habarini wakuu,
Waridi pure & natural honey inawakaribisha wafanya biashara kutoka nchi zote za Afrika Mashariki kujipatia asali mbichi ya nyuki wadogo na nyuki wakubwa kwa bei nzuri, tunasafirisha popote.
Kwa mawasiliano tutafute kwa email

waridipurenaturalhoney@gmail.com
weka kila kitu openly bro... kwa jinsi unavyofanya ni sawa na kuweka bizaa zako barabarani alafu unamwambia ukihitaji njoo nyumbani
 
rojonti

Member
Mar 28, 2015
26
45
Nashukuru kwa wale wadau wanaokuja kwa email kufanya maelewano ya madumu ya asali pia ningependa kujua unahitaji asali ya nyuki wadogo ama wakubwa na kama ni ndani ya Tanzania tufahamu mkoa unaotoka ili kukupatia bei na gharama za usafiri kwasababu usafiri ndani ya dar es salamu ni tofauti na nje ya dar es salaam na nitofauti ya nje ya Tanzania.

Kwa wale wanaohitaji katoni za asali nyuki wakubwa ni 216000 kwa chupa kubwa
na 144000 kwa chupa ndogo na hizi ni usafiri exclusive
 
EP PRO

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,687
2,000
Hasa ulikuwa unaogopa nini kusema , watu makini wengine wamesha jenga doubt na wewe, unaonekana mbabaishaji.

1.Weka tangazo lako, likisema bidhaa unayo uza, itambulishe. Kwa maelezo kidogo watu waitambue wasio ijua.

2.Ukiweza ongelea hata jinsi ya kutumia au hata faida zake, kuonyesha na uelewa na unacho uza.

3.Kama una ofisi iseme ipo wapi , waelekeze wateja. Maana hapa unaweza kuta ukapata oda kubwa za dau kubwa, mtu lazima ajiaminishe kuwa sio mpigaji na sio mbabaishaji.

3.Ongelea package zake, na bei kwa kila package.

4.Wateja wa mbali watapataje huduma pia.

USIFANYE BIASHARA KAMA MMACHINGA KUWA HADI UMSOME MTEJA AKIWA MZEMBE HUMPIGE.
KUWA NA BEI YA KUANZIA NA KUISHIA AMBAYO ITAKUPA FAIDA
 
rojonti

Member
Mar 28, 2015
26
45
Nas

Nashukuru umenielewa
 
mr chopa

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
4,677
2,000
Lita moja asali ya nyuki wakubwa bei gani na wadogo bei gani pia nikihitaji Lita 1000 naweza kupata
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom