Shamba linauzwa

Jun 22, 2022
38
15
Shamba linauzwa, linafaa kwa kilimo Cha parachichi, miti ya mbao, maharage n,k

Lina ukubwa wa eka 50. Bei ya kila eka ni tsh laki tatu na Elfu hamsini (350,000=)

Shamba lipo Kijiji Cha mfriga ktk kata ya mfriga tarafa ya lupembe mkoani njombe. Lipo jirani na barabara na Kuna laini ya umeme umepita karibu
Maji pia yapo karibu.

Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0711605570 au 0764426929
IMG-20220912-WA0028.jpg
IMG-20220912-WA0030.jpg
IMG-20220912-WA0027.jpg
IMG-20220912-WA0026.jpg
IMG-20220912-WA0031.jpg
 
Shamba linauzwa, linafaa kwa kilimo Cha parachichi, miti ya mbao, maharage n,k

Lina ukubwa wa eka 50. Bei ya kila eka ni tsh laki tatu na Elfu hamsini (350,000=)

Shamba lipo Kijiji Cha mfriga ktk kata ya mfriga tarafa ya lupembe mkoani njombe. Lipo jirani na barabara na Kuna laini ya umeme umepita karibu
Maji pia yapo karibu.

Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0711605570 au 0764426929View attachment 2354671View attachment 2354672View attachment 2354673View attachment 2354674View attachment 2354675
sioni shamba,naona milima na pori tu,au macho yangu hayaoni vizuri..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom