Nahitaji mashudu ya alizeti, pamba, soya na pumba

Nahitaji mashudu ya alizeti, pamba, soya na pumba

TATIANA

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
4,695
Reaction score
2,449
Habari wakuu,

Naomba mwenye kuuza bidhaa tajwa hapo juu aniambie anauza bei gani kwa kilo na yapo mahali gani. Lengo ni kufanya tathmini kisha kuanza biashara hii rasmi hivyo nikiwa na mtu mwenye supply ya muda mrefu itakuwa bora sana.

Nasubiri michango yenu wadau wa biashara hii.
 
Mkuu nina mashudu ya nazi na mbegu za chikichi. Let me know kama utayahitaji.
Shukrani mkuu, nitakurudia ila ungeweka bei na supply capacity pia kuainisha kama yanapatikana mwaka mzima.
 
Kiongozi vip bado unataka mashudu Kama bado unataka mim ninakiwanda Cha kukoboa alizeti ni kahama Kama unaitaji tuwasiliane nitakuuzia kilo 600
 
Pumba ya mpunga, kutoka mbarali mbeya. Gunia 25,000
 
Attachments

  • 20220602_123222.jpg
    20220602_123222.jpg
    695.7 KB · Views: 48
Habari wakuu,

Naomba mwenye kuuza bidhaa tajwa hapo juu aniambie anauza bei gani kwa kilo na yapo mahali gani. Lengo ni kufanya tathmini kisha kuanza biashara hii rasmi hivyo nikiwa na mtu mwenye supply ya muda mrefu itakuwa bora sana.

Nasubiri michango yenu wadau wa biashara hii.

Nina mashudu ya alizeti vp ulishapata kama bado nicheki 0682761740
 
Back
Top Bottom